Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
Tamaa ya mwili vs Tamaa ya kuwa na mwenza wa ndoa. Mwanaume akitaka mwanamke wa kuoa anachukuwa hao uliyosema descent. Akipata tamaa ya mwili anachukuwa hao ma-slain queen. Hii ni kwa sababu ni vigumu kupata slain queen mwenye sifa za kuwa wife material.Kwanini wanaume mkioa Au mkiwa kwenye serious relationships (sio wote) mnakua mmechagua wanawake descent meaning hawana mambo mengi wanajiheshimu wana upendo wa kweli then in the other side mnakua na the so called slay queens wale wa instagram [emoji28], wenye mishape mikubwa weupe kama papai, wanakula sana bata , wanavaa nusu uchi
and watoto wa mjini?
Kwanini????? Inamaan again slay queens Ndio wanafaa tu kuwa side chicks na sio kuolewa na kuwekwa ndani?
Tamaa ya mwili vs Tamaa ya kuwa na mwenza wa ndoa. Mwanaume akitaka mwanamke wa kuoa anachukuwa hao uliyosema descent. Akipata tamaa ya mwili anachukuwa hao ma-slain queen. Hii ni kwa sababu ni vigumu kupata slain queen mwenye sifa za kuwa wife material.
Tunaoa wanawake sio mademu
slay queensDefine the term mademu
Kwani ukiwa unapenda kwenda Kula ice cream kila weekend ndo ununue mashine ya ice cream ulete nyumbani?
Starehe ni starehe ...kila weekend
Na maisha ni maisha kila siku nyumbani
slay queen wengi ni mabogazi wew toka lini mtu anayepiga picha anaangalia matako yake akawa na akili.mtu masaa 24 anashinda hotelini kupiga picha nawine utampelekea wapi ukioa sio balaa tupu.mtu kila siku anawaza kula mikuku ya KFC unapeleka wapi mtu kama huyu.
Hao slay queens wanakuwa ni kwa matumizi ya dharura tu kukata kiu.
Kwani wewe ukila chakula home ndo hunywi tena soda, juice, maji, nk huko nje?
Wapo lakini siyo wengi. Wachache sana. Na ni vigumu kujua yupi ni yupi hivyo wanaume wengi wanaogopa kucheza bahati nasibu. Mwanaume una kiduka chako cha mangi halafu uchukuwe slain queen hujipendi? Akija Diamond au Kiba si atamnyakuwa kama tai anyakuavyo kifaranga na wewe ubaki kulaani kama kuku?Mbona wapo sana
Sex drive dear. Unafikiri wanaume wanatembea nao kwa sababu ya mapenzi? Yaani nia yangu ni kupiga mashine halafu nikumbie tena ukweli? Tena nitakuambia wewe ni yule mtarajiwa... wewe slain queen ndiyo unatakiwa uzichange kichwani...badala ya kukimbia kutoa tunda sema unataka ndoa kwanza....Sasa kwanini mnatembeaga nao na kuwachezea? Kwann msiwaambie ukweli