Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,392 Reaction score 289,520 Oct 21, 2017 #1 Hii ni baada ya timu anayoifundisha ya Westharm kunyukwa bao 3 kavu na Brighton & Hove Albion . Uvumilivu una mwisho , si rahisi tena kwa uongozi wa wagonga nyundo hao wa London kumvumilia . Kwaheri ya kuonana .
Hii ni baada ya timu anayoifundisha ya Westharm kunyukwa bao 3 kavu na Brighton & Hove Albion . Uvumilivu una mwisho , si rahisi tena kwa uongozi wa wagonga nyundo hao wa London kumvumilia . Kwaheri ya kuonana .
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Oct 21, 2017 #2 Managers are hired to be fired.... Wazungu wapo serious
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,307 Oct 21, 2017 #3 Kweli kuti kavu maana timu zina mzuka sana wa kuondosha makocha na hata hivyo mwenendo wa wagonga nyundo umekuwa zaidi ya kuchechemea.
Kweli kuti kavu maana timu zina mzuka sana wa kuondosha makocha na hata hivyo mwenendo wa wagonga nyundo umekuwa zaidi ya kuchechemea.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,392 Reaction score 289,520 Oct 21, 2017 Thread starter #4 Joseverest said: Managers are hired to be fired.... Wazungu wapo serious Click to expand... Nawashangaa Yanga bado wanang'ang'ana na Lwandamila
Joseverest said: Managers are hired to be fired.... Wazungu wapo serious Click to expand... Nawashangaa Yanga bado wanang'ang'ana na Lwandamila
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 Oct 21, 2017 #5 Erythrocyte said: Nawashangaa Yanga bado wanang'ang'ana na Lwandamila Click to expand... Kwani Omog tayari au bado mnamvutia pumzi?
Erythrocyte said: Nawashangaa Yanga bado wanang'ang'ana na Lwandamila Click to expand... Kwani Omog tayari au bado mnamvutia pumzi?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Oct 21, 2017 #6 Erythrocyte said: Nawashangaa Yanga bado wanang'ang'ana na Lwandamila Click to expand... Lwandamina bado tunamuhitaji
Erythrocyte said: Nawashangaa Yanga bado wanang'ang'ana na Lwandamila Click to expand... Lwandamina bado tunamuhitaji
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,506 Reaction score 2,747 Oct 21, 2017 #7 Wamuondoe hana mbinu za kiufundi kabisa, kikosi kizuri lakin mbinu mbovu