kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
Mkuu, kabla sijachangia chochote naomba unifahamishe hawo watatu nani nani hawana wake?minaona hawa watu hawatofautian sana, wote matajiri kutokana na matunda ya siasa na wote wanalipwa mshahara mkubwa wakifisadi,wote hawajakataa pesa za posho zao ila wanaomba bunge libadilishe tu akaunt zao,wote wanaakaunt nje ya nchi,watatu wameoa watatu hawana wake nk wote sawa kama si leo kesho watafanana zaidi.naombeni sifa zao zaidi zinazowafananisha zaiidi.