Wazee dr.slaa kesho atakuwepo mitaa ya skanska hall(sorry kama nimekosea spelling),tegeta road akizindua chadema students organisation(chaso) tawi la ardhi university! Usafiri utakuwepo chuoni kuanzia saa 2 asubuhi! Karibuni, me ntaenda ili kuiwakilisha ardhi kimapambano and nione kama slaa anaweza kunishawishi ili nijiunge naye majeshi! Hadi wakati huu sipo upande wowote kichama tz
msituangushe nyie vijana wa archi.
hivi ramani mnazochoraga zinafanyiwaga kazi? hivi nyinyi ndio mlichora ramani ya manzese? nyie kweli ni vichwa
Kama wasomi wengi wanamwelewa Dr. Slaa inakuwaje mzee mpaka leo bado unasisita? Inaonyesha wewe unashawishika hata kwa fedha maana hauna maumivu kabisa na shida za hii nchi. Hata kama siyo Dr. Slaa, kama msomi uliyeelewa nchi hii inavyoenda, unahitaji kuunga mkono upinnzani dhidi ya udhalimu utawala uliopo.Wazee dr.slaa kesho atakuwepo mitaa ya skanska hall(sorry kama nimekosea spelling),tegeta road akizindua chadema students organisation(chaso) tawi la ardhi university! Usafiri utakuwepo chuoni kuanzia saa 2 asubuhi! Karibuni, me ntaenda ili kuiwakilisha ardhi kimapambano and nione kama slaa anaweza kunishawishi ili nijiunge naye majeshi! Hadi wakati huu sipo upande wowote kichama tz
Wazee dr.slaa kesho atakuwepo mitaa ya skanska hall(sorry kama nimekosea spelling),tegeta road akizindua chadema students organisation(chaso) tawi la ardhi university! Usafiri utakuwepo chuoni kuanzia saa 2 asubuhi! Karibuni, me ntaenda ili kuiwakilisha ardhi kimapambano and nione kama slaa anaweza kunishawishi ili nijiunge naye majeshi! Hadi wakati huu sipo upande wowote kichama tz
Kama wasomi wengi wanamwelewa Dr. Slaa inakuwaje mzee mpaka leo bado unasisita? Inaonyesha wewe unashawishika hata kwa fedha maana hauna maumivu kabisa na shida za hii nchi. Hata kama siyo Dr. Slaa, kama msomi uliyeelewa nchi hii inavyoenda, unahitaji kuunga mkono upinnzani dhidi ya udhalimu utawala uliopo.
Rudi moyoni mwako ufikirie vizuri maana wasomi ndo tunaowategemea kwenye upinzani na wajinga ndo mtaji wa magamba.
msituangushe nyie vijana wa archi.
hivi ramani mnazochoraga zinafanyiwaga kazi? hivi nyinyi ndio mlichora ramani ya manzese? nyie kweli ni vichwa
Ningependa tu kujuwa jinsia yako, kuhusu swala la kwenda nakushauri usiende maana kama umeshindwa kumuelewa miaka yote 15 sidhani kama unaweza kumuelewa au kutomuelewa kwa masaa mache atakayoyatumia hapo chuoni.
msituangushe nyie vijana wa archi.
hivi ramani mnazochoraga zinafanyiwaga kazi? hivi nyinyi ndio mlichora ramani ya manzese? nyie kweli ni vichwa
Fanya uende kamskilize naimani hutojutia uamuzi wako utakaouchukua huyo kesho kikubwa nenda ukiwa huna mashaka hata kidogoWazee dr.slaa kesho atakuwepo mitaa ya skanska hall(sorry kama nimekosea spelling),tegeta road akizindua chadema students organisation(chaso) tawi la ardhi university! Usafiri utakuwepo chuoni kuanzia saa 2 asubuhi! Karibuni, me ntaenda ili kuiwakilisha ardhi kimapambano and nione kama slaa anaweza kunishawishi ili nijiunge naye majeshi! Hadi wakati huu sipo upande wowote kichama tz
Hakuna kitu kinachoitwa "sina upande wowote",who did u vote for in the last General Elections? Or u are among those people who didnt see a logic behind going for Voting?
Ramani zetu zinapigwa chini!zinachukuliwa na wajerumani,wahindi...nk!wanaoelewa maana ya utaalamu