gazeti gani
CCM out
Nimeisikia kwenye kipindi cha magazetini sasa hivi.
Wanaopnaga hili wanajua impact yake?
Wamewaza vyema kweli?
Plan A ya matusi,provocation yameshindwa mpaka sasa.
Jambo moja ni wazi,kuna kiu ya mabadiliko.
Huyu lowassa si aliambiwa fisadi na chadema leo hii katoa hela ndio mgombea binafsi kupitia mgongo wa chademaSiasa bana kweli mchezo mchafu, huyu slaa si ndie aliyechochea zito afukuzwe chadema kwamba ni yuda leo hii ati wako pa1, huyu mzee si alisema siasa basi,
Majitu mengine afadhali ya ng'ombe !
Ukishaacha kazi ya Kanisa na ukajiingiza ktk kazi za dunia uzeeni matokeo yake ndio hayo.
Natamani nimzabe vibao .Si atulie na mapenzi aliyoamua kuwekeza kwayo
Ulongea na mungu lini akakuambia ameamua hivyoTime will tell, Slaa alisema nae ana MOYO wa tissue, hata akienda Na Zitto haitasaidia kama wakati wa changes umefika. MUNGU akisema no ni no.
Siasa bana kweli mchezo mchafu, huyu slaa si ndie aliyechochea zito afukuzwe chadema kwamba ni yuda leo hii ati wako pa1, huyu mzee si alisema siasa basi,
Wapendwa hata Mimi nimesikia hiyo taarifa Slaa na Zito kupandwa jukwaani, lakini nafikiri ndio wanazidi kuongoza kasi ya Mabadiliko kwani hawana jipya ambalo hatujawahi kusikia, maybe wanakuja kumsaidia JPM kufafanua kwanini serikali ya CCM hiyo hiyo ilizikaa Viwanda vyote nchini kwa kujinufaisha na jamii zao na sasa wanataka kufufua tena! Hakuna kupanic...Mabadiliko nje ya CCM ni muhimu! Kumbuka kuzingatia kupiga kura yako vizuri kwenye box sahihi ili isiharibike. Ni maoni yangu.