Siasa hizi Dr.Slaa anahutubia mkutano Kigoma amesimama juu ya kigoda, tuliwaambia kuwa Chadema safari imefika wakawa wabishi naona majibu wameyapata.
Wanachoweza slaa na mbowe ni kupora wake za watu na kumiliki vimada tu
Chadema ni mrad wa wenye chama chao icho,ndio maana hawatak kufanya esabu watu wajue matumiz na mapato.michango mbal mbal kwa njia tofaut imetokewa na wananch ipo wapi?ruzuku pia ipo wapi?kama c chama cha watu fulan tuweken waz juu ya ili
Nasikia siku hizi Kinana 'anatoa' pepo...!!
Pia nasikia Kinana 'anafuga' nanihii....!!
Ngoja tumuone kwenye picha...
Hawa jamaa kwa kweli wameiua Chadema na kuirudisha nyuma sana ,kumbe tatizo ni hela walizochota kwenye chama na hawana wala hawaonyeshi nia ya kuzilipa ,sasa hizi ziara ambazo nazifananisha na za yule ndege Kinana ni kutaka kuziba ufa na kulifuta deni kwa kujazia mahesabu huko kwenye ziara ,ikiwa bado mwaka tu na ushei kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu ziara hizi hazikuwa na maana zaidi ya ufisadi tu wa kuzila hela za Chama na kuwalaghai wananchi.
Madai ya Zito na wenzake kutaka hesabu za Chama yana ukweli kuwa sio bure kuna watu wanakula hela ndani ya Chama chao na hakuna wa kuwahoji ,badala yake wakubwa hao wanadai Chama ni Cha watanzania wote wapenda demokrasia hivi ,hapa pana demokrasia hapa ? Au ni wizi tu na kujirundikia mali kupitia hela za Chama.
Chadema mbona hawaundi tume huru kuchunguza hela ya Chama ? Kuna siri gani kwani tuhuma za kula hela sio ndogo na wahusika wawajibishwe ikionekana kweli.
Nawaonea huruma sana wanachadema ambao hawana mdomo wa kuwahoji viongozi wao na wale wanaowatumainia wakiinua sauti wanafukuzwa na hili genge la watu wachache waliokidhibiti chama.

Mkuu! Hivi hizo si nyaraka ya serikali wajameni? Ama ndiyo kwisheni?
Waraka wa Zitto na wenzake unasema...''Elimu ya mwenyekiti ni ya magumashi, hana vision na hana uwezo wa kujieleleza'' ....Tundu Lissu.Ni chama kimoja tu cha siasa hapa tz ambacho mwenyekiti wake alipata zero (0) form six