sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Hawa watu sjui walikuwa wamejificha wapi, leo nimewaona na matamko yao feki, ambaye hajayazoea ana matatizo!
Wameungana na Mbowe kutaka kuandamana.
Wanasema eti askari wapo elf 35, wanategemea waandamanaji milion 20 ukitoa watoto na wamama. Ndo maana nimesema matamko yao ni feki maana kwenye hiyo idadi ameniweka hadi mimi ambae sina mpango huo, amemweka hadi JK ambae hana mpango huo! Wanachadema hawafiki hata milioni! Toeni kafara maana muda umepita sasa hamjaua!