....KAKA ipande mara mbili....Muungwana ameingia homa ni CHADEMA ....kapiga kazi hadi saa kumi ....kamfungia safari ya kumkeshea kucha MSOGA......saa kumi tu alishachomoka ofisini na msafara wake kwenda MSOGA....HADI kesho saa mbili ndio anarudi mjini......kama mnapenda mabadiliko walau kidogo ni lazima kila mmoja kwa imani yake bara na visiwani asali sana tu!!!
.....sio mnajuwa mafundi wa mzee wakimaliza kazi ...akirudi akiwachekea tu basi ....kila mmoja anasahau machungu......yaani....hii dawa sijuwi ni ile wanayopewaga wapenda mabibi .....wanawake wawakubali tu bila kuhoji???..hamjawahi kuona hiyo .....hadi wanawake wakitoka wanasemezana..."ah sijui nimemkubalije?"....nadhani hiyo imeongezewa nguvu kiasi kuwa watanzania wanampenda muungwana hata wale ambao hawajui amefanya nini.....kama ilivyokuwa 1995....unamuuliza mtu ....unamependa muungwana ..unajuwa rekodi yake kulinganisha na watu kama SAS na wengine???...jibu lake utashangaa ...tena utajibiwa na wake kwa waume...."basi tu nampenda!!"........sijapata kuona ...ukitaka uone basi lazima uwe mtu wa ibada/swala sana!!!
Nasikitika nimeukosa huu mkutano
wewe kweli ulifuatilia hii....kulikuwa na msafara mrefu sana na kuna gari lilibeba na viti kabisa..hahaaaaaaaa JK kazi unayo mwaka huu..chuma hicho ushindane nacho sio una kazi ya kuchekacheka tu
shirtmi sio zinanichefua tu.. wife alikuja na li T-SHIRT lina picha ya JK mama yangu mzaza kalikuta nafutia gari asubuhi.....alinuna haswa
Mkuu hakuna cha kugawiwa wala nini, mie nimeshashona moja na limetulia kweli kweli. Ukitembelea pande za kwetu na kuniona nikiwa nimetinga na gwanda hilo, lazima utanipa tano.Magwanda ya Chadema yanarangi nzuri kuliko ya CCM.
(I wish Chadema wangelikuwa na mipesa ya kuweza kugawa magwanda yao kama CCM, watu wengi wangelipendelea yao kuliko ya CCM!! lol)
Teh teh, mkuu umenikumbusha tukio lile, pale nafikiri ulikuwa ugomvi wa mandumba ya kikwere na kisukuma yaliyogongana jukwaani...teh teh ..na mabox ya ajabu ajabu hadi kwenye carriers za magari....utafikiria ni babu anasafiri..anyway lakini madhara yake kwa upande wake pia yapo ..hakuna kisicho na aja....hata mauza uza anayokutana nayo ndio ada anayoilipa pale anapokosea masharti ya babuz........tofauti na mola yu mwingi wa huruma ...ni nadra akakuumbua hadharani......lakini giza halina huruma ukikosea tu linakutandika hapo hapo na kutaka fidia za makafara......
Things like gari kuaharibika mara mbili in span of an hour,kuanguka anguka,kupigana na watu wa madogoli uwanjani[kirumba],.....etc that is the price he pays and it is risk...mengine ya sleepless nights na mengine ni siri yake...tungeyajuwa tungeona huruma zaidi.........
Mkuu hakuna cha kugawiwa wala nini, mie nimeshashona moja na limetulia kweli kweli. Ukitembelea pande za kwetu na kuniona nikiwa nimetinga na gwanda hilo, lazima utanipa tano.
Mkuu hakuna cha kugawiwa wala nini, mie nimeshashona moja na limetulia kweli kweli. Ukitembelea pande za kwetu na kuniona nikiwa nimetinga na gwanda hilo, lazima utanipa tano.
hii nimeipenda.
CCM wagawe na CHADEMA pia??
Hizi zimetulia... mwendo wa kushonesha tu, au vipi?! lol
Namzukia Selemani pale jirani akanichukue vipimo, ana mashine mpya ya Singer inayotumia umeme!!! 🙂
Hii ndio inatakiwa kuona kwamba Mheshimiwa Slaa amejidamka mapema na kutikisa Arusha. safari hii hakutakuwa na sababu ya kushindwa. Ni lazima mabadiliko yawepo ikiwezekana bunge lijae wapinzani.