Slaa azidi kufunika Arumeru

Chenge

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
1,073
Reaction score
378
Aiseee,kumbe picha tunazoonyeshwa kwenye TV zimechakachuliwa.Mbona wakionyesha kwenye TV watu wanaonekana ni wachache na kamera inaelekezwa sehemu moja tu?Click hii link hapa chini uone nyomi la CDM huko Arumeru.Safari hii CCM watajinyea!

​
Slaa azidi kufunika Arumeru - YouTube
 
[video=youtube_share;X93IXTSKvZg]http://youtu.be/X93IXTSKvZg[/video]
 
Saa ya ukombozi ni sasa !
 
Hata Igunga mlijipa moyo hivyo hivyo, CCM tunatumia "systematic approach", sio nyie kazi kulalamika na kutafuta huruma za wananchi kila siku. ACHA MOTO UWAKE.
 
Hata Igunga mlijipa moyo hivyo hivyo, CCM tunatumia "systematic approach", sio nyie kazi kulalamika na kutafuta huruma za wananchi kila siku. ACHA MOTO UWAKE.

inaonekana na wewe unamilikiwa na magamba eee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…