Slaa awe mbunge wa arusha

Siasa zinatumaliza kiuchumi watanzania jamani!Chonde chonde Lema kata rufaa uokoe mabilioni ya walipa kodi!Hebu angalieni matatizo yalivyotuzunguka jamani,umeme,maji,huduma za afya mbovu!CDM ni chama kinachojali matatizo ya wananchi pls tuoneeni huruma walalahoi!!
kwanini maneno haya usingemwambia hakimu aliyemvua Lema ubunge?
 
Docta njoooooo Arusha tukupe ubungeee, wewe ndiye mbunge mtarajawa,tunakupenda,pamabana baba.

Kwani Lema umeskia wananchi hawamtaki?

Au wewe binafsi humtaki Lema? Usiwasemee watu ilhali na wenyewe wanauwezo wa kusema kwa kupiga kura!
Vinginevyo shawishi chama kikubali kwamba Lema hafai! Ila kwa mtizamo wangu namuona Lema bado anafaa.
 
Ndugu,

Sara yangu tangu juzi ilikuwa imepungukiwa na maneno kwasababu kwenye sara ya awali nilikuwa namjumuisha Kamanda J. Nassari, Baada ya kushinda ubunge nikamuondoa. Kuanzia sasa naahidi kumuomba Mora atupe nguvu na uelewa hasa kwa watu wa Arusha ili baada ya siku 90 Kamanda G.Lema arudi bungeni kwa kisindo.
 
hukumu ya lema ni matokeo ya hasira za ccm kwa kukosa ubunge arumeru, sasa itakula kwao maana am sure chadema watachukua tena arusha
 
Kumrudisha Dr. Slaa kwenye ubunge ni kumdhalilisha, ana kazi kubwa ya kuandaa jeshi wakati anaposubiri kuwa kongozi wa nchi 2015
 
Inawezeka EL alitoe hela kabla ya mambo Arumeru akijua atawaondoa chadema kabisa Arusha, sasa ngoja aone AIBU YA MWAKA 2012
 
Docta njoooooo Arusha tukupe ubungeee, wewe ndiye mbunge mtarajawa,tunakupenda,pamabana baba.

Hapana Slaa hana hadhi ya kuwa mbunge kwasasa, huyu ni Rais wa nchi aliye Pokwa hiyo nafasi na wanamtandao kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya uchaguzi
 
Lazima kuna mkono wa Mizengo Pinda, si alisema uongo Bungeni na kile kibibi kichawi kinapiga chenga kutoa uamuzi licha ya jemedari kumpelekea ushahidi. Siku 90 si nyingi na this time utashinda kwa kishindo kuliko hata uchaguzi uliopita
 
Peleka u.s.enge huko, CCM watoe rushwa uwaombe chadema kupoteza muda, huna akili wewe, yani jinsi nmepandwa na hasira ngekuwa npo karibu na wewe...,


Mbona comment yako imekaa ki-Lusinde hv?Hivi kujibu hoja ya mtu bila kutukana hujisikii vizuri kabisa eenh?Wahenga wanasema ukimfukuza kichaa utaonekana wewe ni kichaa zaidi!Haya endelea na kashfa zako!!
 
kwanini maneno haya usingemwambia hakimu aliyemvua Lema ubunge?


Mkuu chama tawala tumekwisha kizoea na sera zake za kibabe ambapo wanatanguliza maslahi ya chama zaidi ya nchi hilo linafahamika,lakini sidhani kama ni sahihi mwehu akikojolea then wewe ukamnyea utakuwa umemkomesha!!
 
Back
Top Bottom