Slaa awajibu polisi

Polisi wetu ni km pazia vile, upepo utakapoelekea nao wanakwenda huko huko pumbavvvvvvvvvvv sana

Mbona umewapa cheo hivyo? polisi wetu ni sawa na toilet pepa au kile kifaa cha kupunguzia kuenea kwa ngoma na mimba zisizotarajiwa
 

Cha kushangaza ni pale CHADEMA wanapolipia walinzi wa hawara ya Slaa Josephine na wanashindwa kuwawekea wabunge waliokuwa na hofu ulinzi. Vipi gwandas?
 

Anaitwa DCI Manumba na sio Kanumba(RIP)
 
 

Anaitwa DCI Manumba na sio Kanumba(RIP)
 
 
Hivi wana JF kuna mtu amewahi kutafakari hali ingekuwaje kama walioshambuliwa na kukatwa mapanga wangekuwa ni Wabunge wa CCM na wanaotuhumiwa kufanya shambulio hilo kwa hao waheshimiwa ni wana Chadema!

Hebu fikirieni ugeni ambao wangeupata wakiwa Hospitalini Muhimbili;


  • Raisi akifuatana na Waziri wa mambo ya Ndani, IGP na Usalama wa taifa na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ (Shimbo?)
  • Kamati Kuu ya CCM wakiongozwa na Katibu Mkuu Wilson Mkama na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
  • Spika wa Bunge akiandamana na Wabunge wote wa CCM wakifuatiwa na Wabunge wa Upinzani.
  • Katibu wa Baraza la Mawaziri akiwaongoza Mawaziri wote pamoja na Makatibu Wakuu wao.
  • Viongozi wa Dini na mashirika mbali mbali ya kidini.
  • Viongozi wa Mashirika ya Umma, taasisi za serikali na Makampuni binafsi.
  • Viongozi wa vituo vya habari na TV vikiongozwa na TBC na vituo vyote vya habari Zanzibar.
  • Na kadhalika...

Je kauli zao zingetofautiana na aliyotoa Dr. Slaa? Bila shaka tungesikia;


  • Kauli za viongozi mbalimbali wakiilaani Chadema kwa kuhatarisha amani na utulivu hivyo kuleta machafuko nchini.
  • Kutaka hatua za haraka zichukuliwe dhidi ya Chadema na ikiwezekana kukifuta na kuwakamata viongozi wake.
  • Kuitishwa kwa maandamano nchi nzima kikiongozwa na UVCCM dhidi ya vitendo vya kihuni kama vya wavuta bangi.
  • Kuitishwa kwa kikao cha dharura cha serikali na kuagiza hatua kali zichukuliwe ili iwe fundisho kwa wote wenye mawazo kama hayo.
  • Kumwagiza IGP na majeshi yote ya Usalama kuwasaka na kuwakamata waliomo na wasiokuwamo mradi wanatuhumiwa kuhusika na tendo hilo la kishenzi.
  • Na kadhalika...

Wakati haya yakifanyika, TBC ingepewa agizo moja tu, kuihamasisha jamii juu ya uovu wa vyama kama Chadema vinavyosukumwa na uroho wa madaraka. Na amini usiamini hili ndilo lingekuwa wimbo wa kila siku na habari kubwa kwa wiki nzima au hata zaidi, lakini maadam Wabunge wenyewe walikuwa wa Chadema na wahusika walikuwa ni wakereketwa wa CCM, Jeshi la Polisi limeamua kuwatisha na kulumbana na viongozi wa Chadema wanaolilia tu sheria ifanye kazi! Cha kusikitisha ni kuwa Watanzania mfano wa Ribosome na apolycaripto wako wengi na kama walivyokuwa wafuasi wa dola za kifashisti kama ya Hitler, dawa pekee ni mapinduzi.
 
Last edited by a moderator:
Cha kushangaza ni pale CHADEMA wanapolipia walinzi wa hawara ya Slaa Josephine na wanashindwa kuwawekea wabunge waliokuwa na hofu ulinzi. Vipi gwandas?

Ribosome,

ungekuwa na ujasiri wa kujitambulisha kwa jina lako,ningekwambia maana ya ulichozungumza,lakini kwakuwa huna chembe ya uthubutu,endelea kuwa limbukeni.waswahili walisema, asiyejua maana usimwambie maana.
 
Unafiki ndio unatugharimu kila mara, only truth will set us free. Bravo Dr Slaa!
 
Cha kushangaza ni pale CHADEMA wanapolipia walinzi wa hawara ya Slaa Josephine na wanashindwa kuwawekea wabunge waliokuwa na hofu ulinzi. Vipi gwandas?
Ruby the heart stealer Aah??????????
 

Natambua uwepo wako jembe langu Mag3!
Umeisawazisha taharuki nzima, kwa pande zote!
 
Last edited by a moderator:
Hata mahakamasisiem nayo ipo makini kusimamia kesi zote za majimbo ya CDM
 
Natambua uwepo wako jembe langu Mag3!
Umeisawazisha taharuki nzima, kwa pande zote!
Hiv imagine ile SMG aliyokutwa nayo mzee wa Nashera angekutwa nayo Godbless Lema ingekuwaje??polisi wangesema hata zile dalaz ni za mtutu,ila kwa kuwa gamba huwapooza wakabadilisha eti ni rifle za kawaida,duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…