Haya sasa, wale bendera fuata upepo njooni na hili mpongeze. Mliwapongeza wafukuzaji sasa njooni mpongeze na kutenguliwa kwa maamuzi ya wafukuzaji...
Bendera fuata upepo. Mmeshikiwa akili...
Hayo yote ulikuwa hujui mpaka leo, lakini ulikuwa umeshasema kuwa waliofukuzwa ni wasaliti. Kitu gani kilikujulisha kuwa ni wasaliti hapo mwanzo ambacho sasa kimebadilika?
Hayo ndiyo wameona? Mbona Mtela hakusikilizwa? CDM NI GENGE LA WAHUNI.
Chadema watamsikilizaje mwanachama wa CCM?Hayo ndiyo wameona? Mbona Mtela hakusikilizwa? CDM NI GENGE LA WAHUNI.
ya chama chetu haikuhusu..... silltsasa wale waliofukuzwa na bavicha katiba gani iliofuatwa
sikiliza mkuu sisi cdm tukiona kirusi tuna deliti saa hiyo hiyo kama kuna makosa tuna resrore hararaka chezezea chama cha mungu wewe utalala njaa k. wewe......
Inaonekana wewe ndio umechanganyikiwa, unafikiri madiwani wote hufanya makosa yale yale kwamba wahukumiwe kwa sheria ile ile, makosa ya madiwani wa Arusha yanajulikana walihukumiwa kulingana na uzito wake na madiwani wa Musoma watasikilizwa na kuhukumiwa kulingana na makosa yao, vile vile makosa ya masalia yenu yalijulikana nao walitendewa haki yao kulingana na matendo yao.Huyu Dr kaanza kuchanganyikiwa nini? alipowafukuza madiwani wa arusha alitumia katiba hiyo hiyo wanayoitumia wenzake!
Mwampamba na Shonza??????
Hiki ni chama cha Kufukuzana
Chama cha mungu yupi? Inaongekana huyo mungu dhaifu sana amekubali kuwa chama cha upinzani.
Usiwe na akili za kushikiwa kila kosa na sheria zake usifikiri wezi wote wanahukumia kwa sheria moja.Wale wote waliokuwa wakishabikia madiwani kufukuzwa sijui watakuja na kauli zipi, lakini walivyokuwa wanafiki hawakawii kubadilika na kupinga kauli zao za mwanzo.
Mkuu kula "five"Chama cha mungu yupi? Inaongekana huyo mungu dhaifu sana amekubali kuwa chama cha upinzani.
Inaonekana wewe ndio umechanganyikiwa, unafikiri madiwani wote hufanya makosa yale yale kwamba wahukumiwe kwa sheria ile ile, makosa ya madiwani wa Arusha yanajulikana walihukumiwa kulingana na uzito wake na madiwani wa Musoma watasikilizwa na kuhukumiwa kulingana na makosa yao, vile vile makosa ya masalia yenu yalijulikana nao walitendewa haki yao kulingana na matendo yao.
Yaani mmekosa hoja kwa hili.Usiwe na akili za kushikiwa kila kosa na sheria zake usifikiri wezi wote wanahukumia kwa sheria moja.
John Shibuda??????????????????????????????????sikiliza mkuu sisi cdm tukiona kirusi tuna deliti saa hiyo hiyo kama kuna makosa tuna resrore hararaka chezezea chama cha mungu wewe utalala njaa k. wewe......