mpenda CHADEMA
New Member
- Jun 7, 2011
- 2
- 1
Sasa hata Dr (Phd) akipumua tutaambiwa. Kazi ya siasa ni kuongea na kukutana na watu sasa humu mbona kunageuka kama news letter ya Chadema tena ambayo haichagui habari za kutuambia. These trivialities must not be given a chance to last.

Dogo, Sema a loser Dk Slaa, moyoni kwangu si mioyoni mwetu! Unaleta maneno ya Kitchen Party hapaDr slaa mioyoni mwetu,kikwete mabangoni.nchi haina rais.
I like your comment man!! Kuna mtu aliwahi kusema hakuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania. Akaenda mbali zaidi na kusema hata akiwekwa ng'ombe kuongoza, nchi itakwenda tu. Maana atakuwa akipiga kelele "moooooo" walinzi wake wanatafsiri kwa kadri wanavyojua wao na kutoa maagizo ya utekelezaji. Kikwete ni kama kivuli tu pale ikulu, ni sawa na tusingekuwa na rais tu, maana uwepo wake ni mzigo kwa taifa. Anatuongezea gharama za magari ya misafara yake na nauli za kulipia ndege anapokwenda nje ya nchi.Dr slaa mioyoni mwetu,kikwete mabangoni.nchi haina rais.
Majitu mengine bana! The fact kuwa yamepewa nafasi kuandika basi yanaandika utumbo tu. JF ni jukwaa lahabari na siasa na mambo mengi tu. Kama hupendi politics ingia kwenye issues zingine, nafasi za kazi, tenda etc. Ukibofya habari za siasa this is what you will get. Sasa huna haja ya kulalamika.Sasa hata Dr (Phd) akipumua tutaambiwa. Kazi ya siasa ni kuongea na kukutana na watu sasa humu mbona kunageuka kama news letter ya Chadema tena ambayo haichagui habari za kutuambia. These trivialities must not be given a chance to last.
go slaa go my heart president....Go to HELL
Huyu ndo muarobaini wa matatizo ya watanzania. Mkwer badala ya kuwasaidia wa-tz yeye ni kuchekacheka na kusafiri njeSasa hata Dr (Phd) akipumua tutaambiwa. Kazi ya siasa ni kuongea na kukutana na watu sasa humu mbona kunageuka kama news letter ya Chadema tena ambayo haichagui habari za kutuambia. These trivialities must not be given a chance to last.
wewe nungayembe hujawahi fanyiwa kitchen paty, maneno ya k/paty umeyajuaje? kapige mswaki urudi jamvini.Dogo, Sema a loser Dk Slaa, moyoni kwangu si mioyoni mwetu! Unaleta maneno ya Kitchen Party hapa
ulitaka tumuweke nani? mjomba wako au? kila mtu ana haki huku we vp?