CCM kwa sasa wanahangaika sana! Hebu tazama wananyohangaika pale Lumumba akina Simiyu yetu, ZeMarcopolo, Chabluma, Mwanadiwani na vibaka wengineo wa buku 7. Kazi kwelikweli!
KUMBE TUMECHEKA WENGI, I see sasa ndo natambua kwa nini thread ikitoka inayohusu kuiponda CHADEMA inafuatiwa na michango mfululizo ya Lumumba nilikuwa nafikiri wanapigiana simu, kumbe wako chumba kimoja?!!!!