Slaa anatisha Urambo .Tabora

Vitoto vya watu viwe makini huyo babu anamchecheto akishaona sura ya toto dogodogo.
 
Slaa anatisha nchi hii nani chama pekee chaupinzani tanzania leo maccm watakua wapinzani kufikia 2015 nchi lazima iongozwe na chadema sio mm ni mungu ndio kapanga
 
jamani ni kweli haya?!!!!
haya bwana mi napita tu dr......
 
Anayetisha katika siasa ya TZ ni ZZK tu, na huyo ndo anafaha kuwa raisi 2015, wengineo ni mibwende wangangania madaraka.
 
Zitto anatikisa kwa kuwa gwiji la uongo
 
Anayetisha katika siasa ya TZ ni ZZK tu, na huyo ndo anafaha kuwa raisi 2015, wengineo ni mibwende wangangania madaraka.

Rais wa mwandiga au? Eti zitto awe rais?kweli tz imeoza
 
CCM kwa sasa wanahangaika sana! Hebu tazama wananyohangaika pale Lumumba akina Simiyu yetu, ZeMarcopolo, Chabluma, Mwanadiwani na vibaka wengineo wa buku 7. Kazi kwelikweli!

hii noma, umewafuata mpaka kwenye kichumba chao cha siri?
 
CCM kwa sasa wanahangaika sana! Hebu tazama wananyohangaika pale Lumumba akina Simiyu yetu, ZeMarcopolo, Chabluma, Mwanadiwani na vibaka wengineo wa buku 7. Kazi kwelikweli!

Kwa mkao huo mwisho wa siku unaweza kuota kibiongo kisa bk 7
 
CCM kwa sasa wanahangaika sana! Hebu tazama wananyohangaika pale Lumumba akina Simiyu yetu, ZeMarcopolo, Chabluma, Mwanadiwani na vibaka wengineo wa buku 7. Kazi kwelikweli!

Nimecheka sana kwa hii photo
 
Dr. Slaa ni silaha ya maangamizi zidi ya majuha, kila apitapo maccm hutokwa na mapovu mengi huku LB7 tm wakitokwa mijasho kama f.i.s.i amenigwa mfupa.
 
Mzee wa Gongo Ana Mapipa mangapi ya Gongo kwenye ziara yake Huko Urambo
 
Naona makamanda mnajiliza na kujifariji.
Ritz hii habari siyo nzuri kabisa kwa ccm.................... sijui Redio Uhuru fm watatangaza vipi hii makitu!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka sana kwa hii photo

KUMBE TUMECHEKA WENGI, I see sasa ndo natambua kwa nini thread ikitoka inayohusu kuiponda CHADEMA inafuatiwa na michango mfululizo ya Lumumba nilikuwa nafikiri wanapigiana simu, kumbe wako chumba kimoja?!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…