N-handsome JF-Expert Member Joined Jan 23, 2008 Posts 2,453 Reaction score 561 Sep 7, 2015 #121 FaizaFoxy said: Hicho siyo kijarida cha Gwajima? Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu? Haiingii akilini hata chembe. Click to expand... Weka akiba ya maneno FaizaFoxy, kwanini unapenda kwaza wenzio?
FaizaFoxy said: Hicho siyo kijarida cha Gwajima? Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu? Haiingii akilini hata chembe. Click to expand... Weka akiba ya maneno FaizaFoxy, kwanini unapenda kwaza wenzio?
Communist JF-Expert Member Joined Jun 1, 2012 Posts 5,400 Reaction score 1,186 Sep 7, 2015 #122 FaizaFoxy said: Hicho siyo kijarida cha Gwajima? Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu? Haiingii akilini hata chembe. Click to expand... Jina lako ni sawa na tabia yako
FaizaFoxy said: Hicho siyo kijarida cha Gwajima? Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu? Haiingii akilini hata chembe. Click to expand... Jina lako ni sawa na tabia yako
D DAVID CAROL Member Joined May 18, 2014 Posts 97 Reaction score 10 Sep 7, 2015 #123 ASKOFU ZACHARY KAKOBE AMSHUKIA DR. SLAA MZINZI. DOWNLOAD HII ILI UISIKILIZE https://www.dropbox.com/s/wj01felsuxdn648/1 KAKOBE AMSHUKIA MZINZI SLAA.m4a?dl=0
ASKOFU ZACHARY KAKOBE AMSHUKIA DR. SLAA MZINZI. DOWNLOAD HII ILI UISIKILIZE https://www.dropbox.com/s/wj01felsuxdn648/1 KAKOBE AMSHUKIA MZINZI SLAA.m4a?dl=0
DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,639 Reaction score 1,799 Sep 7, 2015 #124 FaizaFoxy said: Kwani kuna padri mwenye afadhali dunia hii? Wengine wanalawiti wengine wanalawitiwa, i wazi kabisa, unataka ushahidi? Click to expand... Na mashehe je?
FaizaFoxy said: Kwani kuna padri mwenye afadhali dunia hii? Wengine wanalawiti wengine wanalawitiwa, i wazi kabisa, unataka ushahidi? Click to expand... Na mashehe je?
P ProudMama Member Joined May 2, 2015 Posts 22 Reaction score 6 Sep 7, 2015 #125 Erythrocyte said: sijawahi kusikitishwa na mtu yeyote katika kipindi cha miaka 15 iliyopita kama alivyonisikitisha Dr slaa ! Click to expand... Na ndio maana Neno likasema ameelaaniwa amtegemeaye binadamu
Erythrocyte said: sijawahi kusikitishwa na mtu yeyote katika kipindi cha miaka 15 iliyopita kama alivyonisikitisha Dr slaa ! Click to expand... Na ndio maana Neno likasema ameelaaniwa amtegemeaye binadamu
M moshdar JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 2,421 Reaction score 1,234 Sep 7, 2015 #126 FaizaFoxy said: Hicho siyo kijarida cha Gwajima? Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu? Haiingii akilini hata chembe. Click to expand... asante Yesu kwa kumponya faiza. sasa anawakubali watumishi wa mungu. sasa Faiza amini na kubatizwa nawe utauona ufalme wa Mungu wa kweli.
FaizaFoxy said: Hicho siyo kijarida cha Gwajima? Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu? Haiingii akilini hata chembe. Click to expand... asante Yesu kwa kumponya faiza. sasa anawakubali watumishi wa mungu. sasa Faiza amini na kubatizwa nawe utauona ufalme wa Mungu wa kweli.
B BENAI Member Joined Jul 25, 2015 Posts 93 Reaction score 38 Sep 7, 2015 #127 Tukubali Mzee kachekesha...
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Sep 7, 2015 #128 moshdar said: asante Yesu kwa kumponya faiza. sasa anawakubali watumishi wa mungu. sasa Faiza amini na kubatizwa nawe utauona ufalme wa Mungu wa kweli. Click to expand... Nisome vizuri utanielewa tu. Nataka kukuuliza, mtumishi wa Mungu anazini?
moshdar said: asante Yesu kwa kumponya faiza. sasa anawakubali watumishi wa mungu. sasa Faiza amini na kubatizwa nawe utauona ufalme wa Mungu wa kweli. Click to expand... Nisome vizuri utanielewa tu. Nataka kukuuliza, mtumishi wa Mungu anazini?
M musami JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 1,434 Reaction score 460 Sep 8, 2015 #129 DAVID CAROL said: ASKOFU ZACHARY KAKOBE AMSHUKIA DR. SLAA MZINZI. DOWNLOAD HII ILI UISIKILIZE https://www.dropbox.com/s/wj01felsuxdn648/1 KAKOBE AMSHUKIA MZINZI SLAA.m4a?dl=0 Click to expand... Huyu Kakobe si ndio yule ambaye mwaka 2010 alituambia tumchague Dr.Slaa pamoja na matatizo ya ndoa yake,akitoa mifano kadhaa kuonesha kwamba duniani hakuna mkamilifu?Hata kama watanzania tuna matatizo ya kusahau haraka lakini hili tunalikumbuka
DAVID CAROL said: ASKOFU ZACHARY KAKOBE AMSHUKIA DR. SLAA MZINZI. DOWNLOAD HII ILI UISIKILIZE https://www.dropbox.com/s/wj01felsuxdn648/1 KAKOBE AMSHUKIA MZINZI SLAA.m4a?dl=0 Click to expand... Huyu Kakobe si ndio yule ambaye mwaka 2010 alituambia tumchague Dr.Slaa pamoja na matatizo ya ndoa yake,akitoa mifano kadhaa kuonesha kwamba duniani hakuna mkamilifu?Hata kama watanzania tuna matatizo ya kusahau haraka lakini hili tunalikumbuka
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Sep 8, 2015 #130 DIUNATION said: Na mashehe je? Click to expand... Usipende ubishi kwa sbabu ya ubishi tu, bishia vitu vya kweli na uukubali ukweli, jionee: Huyo ni mchungaji na mchumba wake, shoga. Na hiyo picha ni kanisani. Upo hapo ulipo?
DIUNATION said: Na mashehe je? Click to expand... Usipende ubishi kwa sbabu ya ubishi tu, bishia vitu vya kweli na uukubali ukweli, jionee: Huyo ni mchungaji na mchumba wake, shoga. Na hiyo picha ni kanisani. Upo hapo ulipo?