Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Kama alipewa mpunga kwa ajili ya kazi na kazi haijakamilika lazima aifanye tu hata kama hataki, ndio shida ya kutumika.
Kwa huu ugeni..nawashauri muongeze manunuzi ya pampaz
Lipumba CCM wamempiga bao alichotarajia kupata wamemuingiza mjini kwa hiyo hapo alipo amekosa yote CUF kaikosa UKAWA kaukosa na fedha kakosa, alichoambulia ni kulipiwa maradhi na chakula bila kusahau usafiri kwenda na kurudi kule RwandaLipumba je? vipi na yeye
Pengine kafata last instalment yake.shame on him.
Sisi tunataka mabadiliko wao wanataka u first lady?Watu wanamdharau sana kwa hilo tu bora angenyamaza angebaki na heshima yake.Mtu asiye na maadili hafai hata kidogo!Unawezaje kuzaa na mtu ukiwa Padre?Inawezekana wapo wengine ambao aliwamenya na hawakufanikiwa kuzaa tu!Kibaya zaidi unatelekeza familia!!!
Hiyo impact isingekuwepo mgetokwa povu kujadili huo ugeni?
Lipumba CCM wamempiga bao alichotarajia kupata wamemuingiza mjini kwa hiyo hapo alipo amekosa yote CUF kaikosa UKAWA kaukosa na fedha kakosa, alichoambulia ni kulipiwa maradhi na chakula bila kusahau usafiri kwenda na kurudi kule Rwanda
Aje asije...haturudi nyuma tena
Hahahahahaa....ameona tangu kaondoa ameishia kuandikwa na gazeti la sani......mwee hii sio kuporomoka kisiasa bali ni kufa kisiasa...pole babu cassava tulikupenda lakini Josephine kakupenda zaidi....
Hakuna mtu mkubwa zaidi ya Taasisi
Leo Mnamdharau Slaa Baada Ya Uchaguzi Mtamkumbuka
Nabisha kidogo but ni exception tu .Lowassa ni zaidi ya CCM kwasababu magamba yana jamba tu