Hivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,
(Easst west home is best) wanasiasa wanasahau kuna maisha baada ya siasa dr mihogo ataheshimka na CCM tu lkn inawezekana pia kwa hela alizopewa impact yake imekuwa ndogo labad CCM wamejipanga upya (may be he has come to work for it) tutamuona ni kibaraka tu ( we have reached a point of no return) no retreat no surrender