truckdriver
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 562
- 266
Politics is the game of tactics, ukifanya kosa mwenzio anakuadhibu hapo hapo.Ok tukubali Lowassa ni mchafu....then what is the way forward..
Kwenye List of shame kwa nini yeye peke yake anazungumzwa....
Je ni kwa sababu anagombea uongozi,kama ndiyo vipi kuhusu walioko madarakani na wametajwa kwenye list..
Chadema wako strategic saana,walijuwa EL atakuwa next Presida kupitia ccm ndiyo maana wakaanza kumchafuwa ili wao Chadema washinde kiurahisi.
Mimi naamini wako mafisadi zaidi yake na wengi wanatumika kwa kulipwa kuendelea kumchafuwa lakini siku ya siku mbele ya Mungu wetu hatujui watsema nini.
Hivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,
Yani akijaribu kuifagilia ccm watashangaa atakavyokuwa amemwongezea Lowassa kura za hasira. Mungu akishapanga jambo alipingae afanya kazi ya bure
Politics is the game of tactics, ukifanya kosa mwenzio anakuadhibu hapo hapo.
Yeye mwenyewe ni balaa tosha,na ameoa balaa lingine,double balaa. Atuwache tupumue na balaa letu.Dr Slaa anajitahidi kuwaepusha na balaa lkn nimeamini sikio la kufa halisikii dawa.
kawadanganye wauza mihogo....kuwa slaa ni mteja waoHawezi kuifagilia CCM ila atawashauri muwapigie wabunge na madiwani wengi wa chadema lkn lowasa msimpe kura kwani hafai kuwa rais na ataangamiza taifa. Mabadiliko hayawezi kuletwa na rais bali bunge. Jazeni bunge upinzani mtafurahi.
nakupendaje......wewe ukawaNadhani baada ya uchaguzi kamanda Mbowe na wenzake watakimbia nchi. Hawataweza kukaa nchini kwa hali ilivyo. Na ni wazi ukawa tutashindwa. Hatuna mgombea. Hili lilikuwa ni dili la hela tuu.