Slaa ahitajika Tunduma kuzindua soko

Slaa ahitajika Tunduma kuzindua soko

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,298
Reaction score
38,440
ni baada ya makamu wa rais kushindwa kueleweka kwa wanatunduma
 
Weka nyama kwenye habari basi, nani amesema hivyo na wazo hilo limepitishwa na kukubaliwa na akina nani huko Tunduma?
 
kwani walimruhusu kuongea mbele yao?
 
Weka nyama kwenye habari basi, nani amesema hivyo na wazo hilo limepitishwa na kukubaliwa na akina nani huko Tunduma?
mkuu wanatunduma huwambii chochote kuhusu slaa hivyo wanaona akija mheshimiwa kila kitu kitakua sawa na itawapunguzia na msongo wa mawazo juu ya ccm. Hayo ni mawazo ya wanatunduma kwenye mitaa mbalimbali
 
Haya sasa, viongozi wa kweli HUTAFUTWA na wala si kujipeleka kila mahala kiguu na njia kama Pinda na Blauri wanavyofanya hivi sasa kwa kujiaminisha eti wanakisaidia chama chao ndani ya nchi na Kikwete kule mawinguni.
 
Mkuu tafuta basi watu wengine wakusaidie.

nitaongea na wenye uwezo wa kufanya hivyo lakini tunduma bila chadema haiwezekani hasa slaa mzee ametujengea imani ya kutosha
 
ndg yangu usipende kutoa talifa kwa kupotosha umma wa watanzania kuwa tunduma wanamuhitaji nani kakuambia?tatizo we ni mvivu wa kufuatilia habari mi nipo tunduma na makamu wa raisi amehutubia sema hukumwelewa kuna mambo ya msingi kayazungumza tumemshangilia pia alipongea ujinga tumemzomea.tatizo ni kuwa ccm hawatakiwi.
 
Back
Top Bottom