Slaa afunika Karagwe

Kwa kadri CCM wanavyojitahidi kukuruka nao CDM wanavyochochea mageuzi,

Saa izi ni Vuguvugu la kijani Vs M4C.
 
mpaka 2015 hakuna kijiji kitaachwa.m4c ni homa ya malaria
 


Kaka hawa jamaa wa ccm ni watukanaji wazuri sana b'ce wanategemea polisi. Lkn tusijali matusi ss tusonge mbele kukomboa taifa letu. Wao wana pesa sisi tuna Mungu!
 
nimelimic sana ili neno.. ''peeeoples powe!!''
 
Alimfunika bos wako mi sioni ajabu kufunika si alizaliwa afanye hivyo we kamuulize kijiko
 
yaani HIVI KUNA WATU MPAKA LEO WAPO CHAMA CHA MABWEPANDE??? NI aibu sana kwa kweli!!! CHADEMA MILELE!! Period!
 
Dr.slaa namfananissha na kipande cha chupa mfano wa almas ambayo watanzania tumedanganywa kuwa ni almas kumbe ni chupa tukaacha almasi halisi
 
usiwape moya waambie ukweli kuwa wanayumba ili wajizatiti
 

Nilishasema humu F, msiwaamini watu wa vijijini, kwenye kura hawako hivyo! The most unprincipled guys. wanabadilika kwa Kanga, kofia and the like!!!!!
 
Dr.slaa namfananissha na kipande cha chupa mfano wa almas ambayo watanzania tumedanganywa kuwa ni almas kumbe ni chupa tukaacha almasi halisi

Kwa Tanzania ya leo hamna zaidi ya Dr Slaa, is the best of the best. Tumpe dhamana ya kutuongoza 2015 panapo majaliwa ili tuondokane na lindi la ufisadi usababishao maisha magumu.
 
Amefunika nn acheni uongo kwa mvua iliyopiga hata magari yalishndw kutembea labda alipanda punda

Mbona juzi magufuli kasema barabara iko powa na inapitika? nani muongo kati yako na magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…