Skype sasa kutafsiri lugha za watumiaji

Joined
Jun 3, 2014
Posts
28
Reaction score
16

​

App ya skype imezindua uwezo wa kutafsiri lugha. Hii inamaanisha watumiaji wanaozungumza lugha mbili tofauti wataweza kuwasiliana moja kwa moja, kila mmoja akizungumza lugha yake ya asili ambayo itatafsiriwa moja kwa moja kwenda kwenye lugha ya mwenzake.

Kwa kuanzia, kwa sasa kuna lugha mbili tu mazungumzo (sauti na video) ambazo zinatumika, English na Spanish, wakati kwa upande wa Instant messaging (text), skype itakuwa na uwezo wa kutafsiri lugha zaidi ya 40.

Feature hii itaanza kupatikana kwa watumiaji wa windows 8.1 (mobile and desktop versions) na windows 10 hivi karibuni.


 
Hizo tafsiri zenyewe zinakuwa kama za google translate?
 
Lazima tafsiri zizingue kwanza, na am pretty sure itakua inaboa sometimes unaongea unasubiri isikie neno, itafafsiri afu ndo itume voice, mnakua mnaongea mnaangaliana kdg then mnaongea.. hahaha! ila its very helpful wakati ni necessary...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…