Preta au nimekosea....
Ugeni bhana...!!
Kwani panaitwaje pale ghorofani juu ya super market, pale philips?
Kijiwe kipya cha burudani ndani ya Arusha.
Was there on Friday night on my trip to DSM ..
Located at Philips.
Nitakuwepo ijumaa ijayo tena wenyeji tupokeeni......!!!
Hii ni advert, sijui ulilipia kwa Mike McKee?
kaaaaaaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli here its where you belongs manSiyo tangazo bhana......
Na leo Ijumaa jioni nitakuwa huko....!!!
I have to drink some beers there..!!
Karibu mwali!!
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!Naona unahamu ya kuolewa!!!!
Ntakuoa nikuzalishe we nifuate fuate tu kama mimi mmeo.....!!
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!Kumbuka kule umeambiwa umekaa kishari shari...jijue ulkivyo sasa.....!!!
Nenda kwa mumeo.....!!
Naona unahamu na mimi mme wa mtu bhana.....!!!!
Kama hujaolewa tafuta mchumba akuoe.....!!!