Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Kuna rafiki yangu aliniambia amekata shauri kuwa atakonda mbinguni na wamuache!! Nilicheka sana.
Ahahahahhah me auntie yangu ni kibonge sana tunamwambia basi jipunguze kidogo fanya diet manyama nyama punguza kula anatujibu ili weje naomba mniache tu Mungu ana makusudi yake kuniumba hivi siwezi mkosea nikajipunguza mbona nyie hamfanyi diet na mna mwili pia
 
Hahahaaaaa!! Eti Mungu ana makusudi yake. Kujifariji nayo muhimu as ukiichukulia too serious inaweza kukutesa kisaikolojia ukajikuta unapata maradhi mengine.
 
Katika watu nawasoma lakini siwaelewi ni pamoja na wewe Sky Eclat. Uko na tricks nyingi ila upo smart sana, halmashauri ya ubongo wangu imeshindwa kabisa kuelezea wewe ni aina gani ya mwanamke.

Mimi napenda maswali ya jig-jig.
1. Umesema ulimpata mwenza wako jf, ni changamoto zipi ulipitia hadi mkafunga pingu?

2. Wanasema eti kutoa tunda kabla ya kufunga pingu ni vibaya, kwako unalichukuliaje?

3. Kuna wakati, hasa wanawake mnakuwa off mood kwenye suala la kumpa mume utram, kwako ni vipi? Unaweza kumpa mume mavituz hata kama hujisikii?

Jibu straight, najua utaanza siasa weye!!
 
Hii account nahisi ilidukuliwa, tizama hata hoja utagundua zina utofauti mnooo.
Hakuwa mlalamishi, very discent, hana fujo, matured.
Something isnt right here.
Aisee...huyu jamaa jana hata mimi kanishangaza sana sio kawaida yake. Kwenye interview ya miss natafuta kaingilia mahojiano mwanzo mpaka mwisho hadi host akajitoa! Ilibidi nimwambie kwanini unavuruga utaratibu kuwa host next time.
 
Katika watu nawasoma lakini siwaelewi ni pamoja na wewe Sky Eclat. Uko na tricks nyingi ila upo smart sana, halmashauri ya ubongo wangu imeshindwa kabisa kuelezea wewe ni aina gani ya mwanamke.

Mimi napenda maswali ya jig-jig.
1. Umesema ulimpata mwenza wako jf, ni changamoto zipi ulipitia hadi mkafunga pingu?

2. Wanasema eti kutoa tunda kabla ya kufunga pingu ni vibaya, kwako unalichukuliaje?

3. Kuna wakati, hasa wanawake mnakuwa off mood kwenye suala la kumpa mume utram, kwako ni vipi? Unaweza kumpa mume mavituz hata kama hujisikii?

Jibu straight, najua utaanza siasa weye!!
Changamoto ni kuwa nilizoea kuishi peke yangu na nilikuwa na spare room ya kuweka viatu na hand bags sasa ku adjust life kuwa inabidi kuwe na space ya nguo za mwenzako lakini katika mapenzi yanawezekana. Ilibidi niachane na vitu vingi nilivyodhani ninavihitaji mwanzoni.

Kwakweli dini zote zinakataza zinaa kabla ya ndoa, lakini Mwisho wa siku inategemea msibani wenye nyinyi wa chumba.

Hili la kuwa off mood kwa sex ni moja ya changamoto za ndoa lakini kwa maongezi na maelewano mwenza ataelewa hasa sababu zinazofanya uwe off mood.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom