Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Kigori nawe ulifika? ?Marangu, kuzuri kwakweli, kumetuliaaa, kijaniii, hali ya hewa yakushawishi.
Kigori nawe ulifika? ?Marangu, kuzuri kwakweli, kumetuliaaa, kijaniii, hali ya hewa yakushawishi.
Njoo kwetuNami nataka mwaliko jamani.
Naongea na weweOngea na mods![]()
wameondoka na pm yangu
![]()
![]()
![]()
Kwahiyo hautaki au unakataa?
Basi hongereni.Huku kuko poa mie na shunie tunalea wajukuu tu hapa![]()
![]()
Ndio.Kigori nawe ulifika? ?
Asanteee bibi.Njoo kwetu
Wa huku hukuKigori wewe wa wapi![]()
![]()
![]()

Hahaaaaa nitakuwa sina msaada kwakoNaongea na wewe
![]()
Kwani we ni Ke.?
SanteeeeeeeeBasi hongereni.




Ewaaa cuzoo vibibi gagula sie tushajichokeaHuku kuko poa mie na shunie tunalea wajukuu tu hapa![]()
![]()
Tufanyaje tena auntie km zimeshachoka tunapambana na uzee wetu na kulea wajukuu tu hakuna namna ingine



HahahaNami nataka mwaliko jamani.
HeeeOoooh kumbe!!
Nipe mualiko maana mie jirani yako.
Nimekutana nae kwenye uzi wa forex huko anajiita kichpox sijui ana avatar kama yako nimejua ni wewe mie una I'd mbiliNani huyo?sijawahi kuwa Na id mbili
Hivi unaniachaje kwa mfano woiiii utanibeba tuHahaha
Aunt wa mie ujue nimealikwa siku kuu tuu, chezea wachaga weye!!!! Kama utakuwa karibu nitakushtua twende wote