skuli tena mimi basi

Hiyo itakuwa zimbabwe, noti moja ina thamani ya laki mbili. Si ajabu katumwa kununua fungu la nyanya huyo.
 
thubutu. na hayo makaratasi yako. utakuja kujuta ukitaka kujua umhimu wa skuli muulize baba yako.
 
hii kweli itakuwa zimbabwe mkuu,hapo ukienda bureau de change kubadilisha kwa fedha ya kitanzania kwa hiyo mihela aliyoshika huyo dogo utapata Tshs. 750
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…