Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Hahaaa nimecheka sana, hapo haijasimama ikisimama mguu wa mtoto.
hasa mtu kama le capitano john damiano komba!Fwasheni changamkieni vidume wote JF. Nashauri liwe vazi la Taifa, kuna viongozi wakilivaa hili watapendeza sana
hasa mtu kama le capitano john damiano komba!
Kama kuna mtu kaibiwa ndizi mbivu akomae na hiyo njemba ya kwanza kulia atakurudishia ndizi yako.