Skin fungus (mmba) msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Skin fungus (mmba) msaada

Discussion in 'JF Doctor' started by Mfamaji, Nov 12, 2009.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba msaada. Ni nini dawa ya kutibu mmba ? vile vialama vinavyobadilisha rangi ya ngozi kama mweusi vinakuwa vyeupe na kama mweupe vinakuwa vyeupe zaidi na haviwashi. Vinatokeza kifuani ,shingoni, usoni n.k
   
 2. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #2
  Nov 12, 2009
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Mfamaji upo Dar?

  Basi nenda Regency Hosp ulizia Specialist wa ngozi atakupa dawa flani itakusaidia sana. Walio Dar wengi wanakumbana na tatizo hili, nadhani linatokana na maji chumvi (sina uhakika).
   
 3. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2009
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tumia Aloe vera Gelly inapatikana store ya Forever Living Products

  au kwa msaada zaidi waweza wasiliana nami kupitia bongje@gmail.com
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ahsante ila kwa sasa siko Dar. Nitarudi baada ya muda kidogo. Naomba contact if possible kwa PM please. Anaweza kuprescribe nikanunua
   
 5. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2009
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Samahani anwani ni byongje@gmail.com. Pole kwa matatizo. Utapona
   
Loading...