Skimming ya Cement Vs White Cement

Skimming ya Cement Vs White Cement

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
3,422
Reaction score
5,479
Habari wakubwa

Katika harakati za Ujenzi naomba kufahamu kwa wajuzi na wazoefu katika hatua hii ya skimming kwenye Jengo ukuta wa nje.

Kimsingi ningependa kufahamu skimming ipi ni bora na imara bila kujali gharama kati ya inayofanyika kwa kutumia cement ya kawaida na ile white cement.

Natanguliza shukrani
 
Habari wakubwa...

Katika harakati za Ujenzi naomba kufahamu kwa wajuzi na wazoefu katika hatua hii ya skimming kwenye Jengo ukuta wa nje.

Kimsingi ningependa kufaham skimming ipi ni bora na imara bila kujali gharama kati ya inayofanyika kwa kutumia cement ya kawaida na ile white cement.

Natanguliza shukrani
 
Mkuu tumia White cement ni waterproof yani hainyoni maji maji na unyevu unvyevunyevu, ukuitumia cement tupu itakuingizia unyevunyevu hapo badae inaeza kuganduka na kuweka fangasi.

White cement na ukapaka rangi ile ya kusafisha na maji ni bora zaidi ukuta ukichafuka unaweza kuusafisha na tambala la sabuni maisha rahisi kiasi kbs.

Subiri Wataalamu zaidi waje
 
Cement ina unyevu zaidi, uzuri wa white cement ni kwamba rangi inashika ukuta vizuri zaidi
Kwa hiyo white cement na cement ya kawaida ipo bora zaidi
 
White Cement hutumika nje
Gypsam powder Ndani ya nyumba

Ova
Ndio, kwa nje sasa kati ya cement ya kawaida na white cement ipi nzuri zaidi kitaalam
 
Nje white Cement, maji haiathiri mkuu
White Cement hutumika njee

Ova
Ndio hapo mvutano ulipokuja kati yangu na fundi. Fundi yeye anasema white cement inakuja kuvimba baadae, ndio anashauri cement ya kawaida. Hapo ndio natatizika
 
ndio hapo mvutano ulipokuja kati yangu na fundi. fundi yeye anasema white cement inakuja kuvimba baadae, ndio anashauri cement ya kawaida. hapo ndo natatizika
White haivimbi, gypsam powder ndy inavimba ikipigwa na maji... Mimi kuna ujenzi nimefanya nime skimm njee miezi 8 Sahv na mvua lkn iko hivyo hivyo
White Cement inatumika njee mueleweshe fundi vzri

Ova
 
ndio hapo mvutano ulipokuja kati yangu na fundi. fundi yeye anasema white cement inakuja kuvimba baadae, ndio anashauri cement ya kawaida. hapo ndo natatizika
Hapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?
 
nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?

kabla ya kupaka rangi uli skim kwa kutumia cement au white cement?
 
Back
Top Bottom