Skandali la Ubakaji Ndani ya Kanisa Katoliki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Skandali la Ubakaji Ndani ya Kanisa Katoliki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Estmeed Reader, Apr 21, 2010.

 1. E

  Estmeed Reader Senior Member

  #1
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Skandali ndani ya Kanisa Katoliki, hasa katika Nchi Zilizoendelea za Ulaya Magharibi na Amerika, inazidi kuchanua kiasi cha kumhusisha Papa Mtakatifu wa sasa alipokuwa Padri huko kwao Ujerumani.

  Ukweli ni kwamba wengi wa ma-Padri tuliokuwa tunaletewa huku kwetu (kwa mfano, Tanzania) walikuwa wakitoka Ulaya Magharini na Amerika.

  Kulikuwepo na fununu fununu za baadhi ya ma-Padri hao kufanya vitendo vya udhalimu vya ngono na wake za watu na wasichana kwa kisingizio cha kitubio kwamba ngono hiyo ilikuwa ni “Roho wa Mungu anayekuingia"!

  Ingawa hakuna uhakika wa fununu fununu hizo, ni mawazo yangu kwamba baadhi ya ma-Padri hao (walikuwa na hulka ya kubaka hao akina mama) sio ajabu pia waliwabaka watoto wadogo na vijana wa alta (alter boys)!

  Kwani endapo baadhi yao walikuwa wabakaji huko kwao Ulaya Magharibi na Amerika, haiingii kichwani kuwa tabia hiyo dhalimu ya ubakaji ilibakia kwenye viwanja vya ndege au bandari za meli wakati wanaanza safari kuja huku kwetu…au ilibakia ndani ya ndege na meli walipofika kwenye viwanja vya ndege na bandari zetu!

  Je, “mi-Afrika” inaogopa kujitokeza ijulikane kuwa nayo ilibakwa, pia?
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Apr 21, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,866
  Trophy Points: 280
  Kdelete hii post yako kwenye habari za biashara, halafu ume unapitia thread nyingine, kuna issue kama hizi zinaendelea kujadiliwa kwenye thread kama mbili hivi. so kabla ya kupost zipitie zingine uone kama hii yako ni habari mpya.

  halafu kutokana na ushabiki ulionao naona unaanza kutukana asili yetu "mi-afrika" ndio nini??

  Hao mapadre au maaskofu ni binadamu kama wengine na wanatenda makosa kama wengine na hukumu inatakiwa ipitie kama kwa wengine, they have done nothing new under the sun. Kwa wengine tusio wakatoliki tunaona na tunajua kuwa haiwezekani kwa wao kuishi bila wake! so policy ya kanisa imewatengeneza hawa silaha-mtu! kabla ya kuanza utawa walishahindwa na nature.It is not biblical.period!!

  Ukienda peramiho mission you can actually confirm my words, watoto wengi around that mission ni watoto wa mapadre! inajulikana hivyo, wao wanajua hivyo, raia wanajua hivyo, siku hazigandi zinaendelea inakuwa mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka maisha yanaendelea!
   
 3. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nina kubaka kwa JINA LA BWANA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU itikia emen. Eemen.
   
 4. M

  Makfuhi Senior Member

  #4
  Apr 21, 2010
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Haiingii akilini. Mzungu amembaka mwafrika lakini mtoto sio chotara. Waberoya watake radhi wanaume wa Peramiho.
   
 5. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sawa kabisa wachunguzwe tena waanze na pengo inawezekana kibaka
   
 6. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,638
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Kanisa katoliki linakubali uchunguzi, na unaendelea. Lakini ikumbukwe kwamba Mwamedi alikabaka kabinti ka miaka tisa !! Kama unataka uhakika, soma HAPA
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Apr 21, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Punguzeni jazba, suala la Mwamedi limetoka wapi tena?
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Naaona umeamua kuja tena. si mbaya kuchangia na kuanzisha mada hapa kubwa ni of which and what kind. Tumekwishakubali makosa yametendeka hili si tatizo la kanisa katoliki kama institution bali ni tatizo la jamii ambayo kanisa katoliki lafanya kazi. We are what we see and we become what we eat. Also tell me your friends and I will tell you who you are. Mara nyingi tumesikia hata wenye ndoa wanaingia huko huko but this does not justify makosa, muhimu ni training nzuri itakayojenga conviction. Kama hukunielewa nipigie simu!
   
Loading...