Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Ukinunua dai risiti ...teh teh teh!! Sizonje atapata laana ya waathirika wa tetemeko
Teh, teh, teh, nimecheka mpaka nikashikilia tumbo, Pombe hii ya ofa jamani haifai maana inasahaulisha tu matatizo lakini wote tulioko ndani ya mipaka ya baa hii tuko hoi kiuchumi isipokuwa mtoa ofa na wapambe wake tu.
 
Mzee Ulimwengu. Kumbe unakuja kuja kuleta Pumba hapa hata General Ulimwengu humfahamu? Pole Pole ana dhambi sana yaani anawachukua watoto wa form two anawapa smartphones kuja huku kuleta uharo.

Jiheshimu.
 
Sizonje angekuwa na akili timamu hata kidogo angeshajiuzulu hiyo nafasi anayogombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…