size zero

Kama una miadi leo ukishaangalia hii picha heri usiende, jogoo anaweza kugoma kuwika.
 
I see!full skeleton,ndo mambo ya umodel,wabongo hawakawii kuiga,thus as time goes utaviona kitaa na street za bongo!Mh ila anatisha
 
Anatisha hata bure ckubali kwanza ukikutana nae kichochoroni lazima utoke mbio
 
Hiki chombo ndy chenyewe, ngoma taaam balaa hiyo teh teh
..thats photoshop, right?
 



kwa mtaji huu kaeni na taste zenu za urembo wa kiinglish figure,
acha niendelee kubananana taste zetu za kiafrika,
lol..taabu gani hiii......................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…