Size ya mdomo

mwalimu watu wengine wanawaza ngono tu, na hawa ndio wezi huko mtaani maana hawafanyi kazi wanawaza kufikisha wanawake kileleni wakati hawana hata wake au wachumba...shiit nimeanza kukereka na thread za aina hii
 
bora umesema wewe
yani kuna watu wanakera sana na nyuzi za namna hii
 
basi wasichana bikira wangekuwa hawawezi hata kufungua mdomo.... heheheheeee
 
Haya sasa nini ugomvi huo, mie siamulii niko hospital kwa dr. Hammeer naumwa, mtamalizana wenyewe

pole waumwa nini tena??
kuna mtu anakuiata huku anauliza hivi siku ya kwanza ilikuwaje??
 
hivi mpka aleo bado hujajua jinsi ya kuondoa uzi jukwaani??

mwombe Invisible akusaidie kuufunga

Acha nifunge hivi hivi mashambulizi yenu yamekuwa ni makali sana, mmenifanya nikose raha kabisa, hawa wewe ambaye umefikia hatua ya kufikiria kuvunja kiuno.
 
Hili jukwaa!! Mnalinyima hadhi yake!!! Hebu tuwape heshima!Mama zetu,na dada zetu,Hili jukwaa mda si mrefu litakuwa Stendi!! Maana stendi maneno kama haya huwa yametawala sana!! TUBADILIKENI

umeona mkuu ee? kuna watu wanataka kulifanya hili jukwaa kama CHOO CHA STENDI lo!
 
gfsonwin leo umeniacha hoi kweli kweli, kumbe K inasura mbaya, na wewe je au niya wengine tu ?
 
Haya sasa nini ugomvi huo, mie siamulii niko hospital kwa dr. Hammeer naumwa, mtamalizana wenyewe
Hata hivyo mada hii imekuvutia, pamoja na kuugua bado umetupia uzi. Hahahahahahahah pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…