Sizaliwi tena kwa mwaka huu

Sizaliwi tena kwa mwaka huu

Mashirum

Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
45
Reaction score
7
Habarini wakuu kama kawaida yangu huajindalia kasherehe ka birthday tarehe 29 feb sasa kwa mwaka huu hakuna tarehe29, ninabakia na umri wangu uleule au?
 
pole ila inapunguza matumizi ya mwisho wa mwezi.
 
Habarini wakuu kama kawaida yangu huajindalia kasherehe ka birthday tarehe 29 feb sasa kwa mwaka huu hakuna tarehe29, ninabakia na umri wangu uleule au?
Mwaka huu wewe umeviza!
 
Pole sana, lakini hapo umri umeongezeka.
 
wenzio walifanya jana,loh pole yako na hongera kuukaribia uzee.
 
subiri 2014 ukizubaa tu piga counter attack
 
Pole sana Mkuu hubaki na umri ule ule maana miezi 12 inakuwa imekata hivyo si lazima kusubir kila baada ya miaka minne ndiyo usherehekee siku yako ya kuzaliwa unaweza kuamua kusherehekea February 28th au March 1. Happy belated birthday.

images

Habarini wakuu kama kawaida yangu huajindalia kasherehe ka birthday tarehe 29 feb sasa kwa mwaka huu hakuna tarehe29, ninabakia na umri wangu uleule au?
 
Haha haaaaaa Mashirum happy birthday mkuu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom