Malinyingi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 864
- 164
Nyie watu nyie..mikutano ya chadema tu ndio inakuwa imejaa watu/wafuasi halali?CCM na wengine wanaleta mamluki,wengie wanaletwa na mabasi kutoka sehemu nyigine ili kujaza mikutano, hivi hamjishangai nyie mikutano yenu tu ndio inakuwa wafuasi halali?Hakuna kitu kama hicho, wasiwasi wako tu. Hao wote wanaoonekana kwenye mikutano inayorushwa live wamekodiwa, nasikia kila mmoja kavuta 50,000. Je wanaubavu wa kuendelea kulipa watu wote watakaokuwa wanahudhuria mikutano yao. Hata kama itakuwa hivyo tutahoji wamepata wapi fedha hizo
Kwa akili ya kawaida tu, unafikiri pesa za madoido yote hayo wamepata wapi?
Mkuu naungana na wewe,watu wanachukulia ki utaniutani lakini practicaly chadema itaathirika sana,tuchukulie mfano kigoma ambapo wananchi wana hasira sana na chadema baada ya watu wao(Zito na kafulila)kufukuzwa ni kura ngapi zitapotea hasa ukizingatia kwa sasa upinzani unataka kuchukua dola kwa namna yoyote ile ku ignore kura za kigoma kwa mfano ni kosa kubwa sana kwa Ukawa,somthing urgent need to be done.Nafikiri viongozi wa juu wanafaham hilo kazi kwao.
Kwa vyovyote vile chadema wamepoteza kura nyingi sana maana watu wengi wanaojiunga ACT wanatoka chadema.
Mimi pamoja na familia yangu pamoja na marafiki wangu watano tumechoma kadi za uachama wa chadema pamoja na nguo zao, chama gani cha ukabila na ukoo namna ile.
kutoka watu 12 ndani ya chadema ni pengo, huoni kwamba ni hasara?
Ati wanajidai wako makini!Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.
Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".
Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.

Hakuna kitu kama hicho, wasiwasi wako tu. Hao wote wanaoonekana kwenye mikutano inayorushwa live wamekodiwa, nasikia kila mmoja kavuta 50,000. Je wanaubavu wa kuendelea kulipa watu wote watakaokuwa wanahudhuria mikutano yao. Hata kama itakuwa hivyo tutahoji wamepata wapi fedha hizo
Kwa akili ya kawaida tu, unafikiri pesa za madoido yote hayo wamepata wapi?
Rooney akihamia Stoke City FC haimaanishi wataanza kuifunga Man Utd kila siku. Strategy is an evolving game
Watnzania SI wajinga kiasi hicho, kama kweli Zzk Ana madhara kwa cdm tutaona out come ya ukawa baada ya uchaguzi mkuu!Afande Sele anasema kocha wa ....anafukuza wafunga magoli kila mara fainali inapokaribia. Ametoa mfano kwamba 2010 striker Kafulila alifukuzwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu na sasa amefukuzwa mfunga magoli mwingine. Sasa wenye akili akina Afande Sele wamefanya maamuzi makini.
Maneno haya yanaposikilizwa na wananchi wa Mwitongo, Nakapanya na Kaliua wengine yanawaingia akilini. Chadema ifanye kila linalowezekana kuzuia sumu hii kali kupenya kwenye vichwa vya watanzania.
Mtoto wa kiume akimbaka mama yake na mama kama ana akili timamu lazima amlaani....hawezi kumsamehe eti kisa ni mwanae....Ayatollah Zitto amelaaniwa na chadema kwa hiyo chama kimeona njia nzuri ni kumlaani tu bila kujali umaarufu wake.
Mwenye data kamili juu ya nini usaliti wa ZZK ndani ya CDM amwage HAPA hadharani,CHADEMA WAKUBALI WAMEUMIA KUODOKA WA ZITO.
ACT fanyeni juhudi za kuichukua Kigoma YOTE. CDM maeneo yao yatatwaliwa na mgawanyiko huo. CDM ni chama cha Wachaga pekee. Ni chama cha Kikanda hasa Kaskazini. Maeneo kama Iringa Mjini na Mbeya ni kwa makosa waliyofanya CCM wakati huo. Nao wamejua walijikwaa wapi.
UKAWA sasa kwisha habari yao. Cake yao sasa imemegwa na kwenda ACT. Hiyo pekee itatengeneza njia kwa CCM kujihakikishia ushidi Oktoba na ACT kuambulia maeneo kadhaa. Nakitahilia ACT viti 15 vya Ubungo ifikapo Uchaguzi Mkuu.
Kama wanaakili nzuri,CDM wajipe miaka 5 mbeleni ya kujiandaa na kujipanga. Kwa sasa bado ni wachanga na nchi haitachukuliwa kirahisi kwa uroho wa Madaraka.
Wanawatumia Wafanyabiashara eti wakidhani ni mkakati kumbe ni kunyesa tu Mwenyekiti wao,MCHAGA,MWANA CDM,MINJA!
CDM watakula jeuri yao mwaka huu!
CHADEMA wanafanya kazi kwa kuongozwa na hisia sana. Kwa nchi zilizoendelea hata kama mwanasiasa amethibitika anakihujumu chama, ila as long as ana impact ndani na nje ya chama, sometimes its normal to work with the devil!
Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.
Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".
Mwiba ukikuchoma usiogope kuutoa kwa sababu utaacha jeraha. Jeraha lina Tina na dawa ya mwiba ni kuung'oa.Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.