Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
Sebuleni ,bafuni na jikoni ,haya maeneo mazuri sanaBafuni mwisho wa matatizo .
Sebuleni ,bafuni na jikoni ,haya maeneo mazuri sanaBafuni mwisho wa matatizo .
Watoto si wa naenda shule,week wanaenda kucheza,wa naenda kwa bibi yao , kwangu bado maeneo muhimu na game zinapigikaHayo maeneo ukishazaa yanatawaliwa na watoto.
Unakosa starehe MkuuBibi yuko mkoani mkuu alafu na uzao wenyewe ni huu wa kuhamasishana unategemea nini mkuu?
mayb yupo kwenye balehe
HahahaManengelo hiyo miguu ni ya kwako?
Huyu mtoto ni hatari sheikh wangu;mzigo haswa.Hahaha
Hahaha, mie siwezi kujuaHuyu mtoto ni hatari sheikh wangu;mzigo haswa.
"APANA"Manengelo hiyo miguu ni ya kwako?
APANA au HAPANA ?"APANA"
😛😛😛 xoma frexh mkuu hvyo vidude " "!pande zipi xaxa!APANA au HAPANA ?