britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,287
- 49,246
Habari zenu bwana !!
KALAMU . Hii hii inasababisha watu wapate misuko suko ama Kwa kuandika Au kuchora, Mara nyingi ukichora ambayo watu hawapendezwi nayo!
Kalamu ipo ituoneshe njia kwa maandishi, wakubwa msije mkafanya kuipuuza kalamu,
Waache waandishi wa habari waandike, acha vijana watoe duku duku Lao, Kupitia Kalamu .
Hii Hii KALAMU imempoteza Ben Saanane
Hii Hii kalamu imempoteza Azory wa gwanda bila kumsahau Kabendera Mjukuu wa Shinani kuwekwa ndani.
KALAMU isibezwe inaelimisha inaongoza na inasaidia Kwa kusahihisha!
Rais wangu Samia suluhu usije ukabeza nguvu ya Kalamu,
Askari wengi wanaoajiriwa bahati mbaya hawakuipenda kalamu, kuna kijana ka comment kwenye Royal Tour kutumia hiihii kalamu kaingia matattizoni
Kalamu hii hii imetuma watu fulani kuandikiwa Memo nao wakajibu memo wakaishia kulaumiana uhuni KALAMU
SI MIMI NI KALAMU NA UBAYA WA KALAMU SI KILA MWENYE MKONO WA KUISHIMA VEMA KUELEZA VEMA KWA KUDADAVUA
Britanicca