Kisoda2 JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 2,475 Reaction score 747 Apr 27, 2010 #1 Wakuu waidara humu ndani nimejaribu kuklik kwenye Music siyapati mambo yetu yaleee ya enzi hizo,wakati huo nyakati zile!! nakutana na bongo flava tuu kulikoni tena ama ndo yakale hayakutani na ya sasa?
Wakuu waidara humu ndani nimejaribu kuklik kwenye Music siyapati mambo yetu yaleee ya enzi hizo,wakati huo nyakati zile!! nakutana na bongo flava tuu kulikoni tena ama ndo yakale hayakutani na ya sasa?
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Apr 27, 2010 #2 nikajua ni mie peke yangu..ngoja tuendelee kusubiri taratibu mambo yatakuwa supa
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,378 Apr 27, 2010 #3 Kweli MODS inakuwaje mmetoa hii kitu muhimu namna ile? rudisheni bana
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Apr 27, 2010 #4 mimi niliijua jf kwasababu ya kusikiliza gospels online!
Kisoda2 JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 2,475 Reaction score 747 Apr 27, 2010 Thread starter #5 Bila kusaha mambo ya pwani "Twaarabu aka rusha roho" wengine siyo kizazi cha ubongo wa flava, hivyo kuikosa ile maneno inakuwa mbalaaa tupu.
Bila kusaha mambo ya pwani "Twaarabu aka rusha roho" wengine siyo kizazi cha ubongo wa flava, hivyo kuikosa ile maneno inakuwa mbalaaa tupu.