Kilala Makusaro
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 688
- 383
Hivi alikuja na kiporo cha ile pilau ya Mboni?
Aaaah! aaaah! kuna ya juzijuzi pale kilombero walikuwa wametandaza chini wanaarusha wakaisusia!! Naona wamekuja na plan B baada ya kuona mshina ya chadema yamejaa Arusha. Ukichunguza utagundua hapo jirani kuna la chadema ndio sijui wanapambana!! Wakiona la shina la chadema wanajikusanya wawili watatu wanajenga hapo pembeni.