Sixtus Mapunda (Katibu Mkuu UVCCM) amvaa Lema Arusha

Sixtus Mapunda (Katibu Mkuu UVCCM) amvaa Lema Arusha

Lema hana chake tena Arusha, Uongo wote aliotuahidi tumemsamehe na tumemuachia Mungu! Sasa tunasubiri uchaguzi ili tumpige chini!
 
Brazil kimeo sana, hii game ya pili wanapoteza sasa.

Huyu Scolari aende tu aisee, hafai kabisa!!
 
Lema hana chake tena Arusha, Uongo wote aliotuahidi tumemsamehe na tumemuachia Mungu! Sasa tunasubiri uchaguzi ili tumpige chini!

Endelea kuota tuuu....kwanza you sound like you know nothing about the politics!
 
Mi naona arusha mbunge yupo ILA nchi ndiyo haina rais


Yaani mkuu usinikumbushe nikisikiya jona kikwete napandwa na hasira...ni kweli rais hatuna ....
Wa Tanzania msirudie tena makosa mliyofanya.
 
afungua mashina ya vijana wa CCM jimbo zima,,,awahasa vijana na Wanaarusha kutorudia makosa,nijukumu lao kuchagua mtu anaetafuta makosa ili alalamike ama kuchagua anaetatua makosa ili wapate maendeleo

asema ;"yakowai mabwawa yasamki ambayo Lema aliahidi kwa vijana? na mitaji yakupata leseni za utalii?,,kasahau sasa anabaki analalamika tu serikali ya CCM kumkwamisha, kwani wakati anaahidi ili mumchague hakujua kuwa CCM itashinda zaidi?asitafute sababu,,mwambieni atekeleze ahadi zake,,

lasivyo 2015 kichapo.."
ukitaka uthalilike pambana na Lema Arusha. kwa Arusha Lema ni kama Obama hana wa kumlinganisha nae
 
Nliwahi kusikia tetesi kua wewe ni goli la nje la Mr. Fastjet, naanza kuamini amini

Hata jina anavunga Tu: Eti Assenga wa Pakaya badala ya Assenga wa Jakaya. Hana lolote huyo, kijana mdogo kama huyu kuanza maisha kwa kulamba viatu vya wakubwa. Ni aibu kubwa mno.
 
Hivi Umoja wa Vichaa wa Chama cha Majambazi una viongozi?

Kama wapo ndio hawa wanaoonekana kama wala unga vile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom