asenga wa ukaya
Member
- Feb 28, 2014
- 34
- 7
Huyu punda atarekebisha nini kwa Msukuma ambayo hana haraka??? wavumilivu sana ila wakichoka ni basi, roho ya msukuma ni moja ikitoka basi. Miaka 53 ya utawala na huu umaskini bado kuna kengemtu anaongelea kutetea CCM??? ya musaaaaaa kweli hayaishi
Mkuu umesahau, kahama kuna muingiliano mkubwa wa makabila kuliko unavyodhani.Tupo wengi makabila mengine kuliko wasukuma, na ndo tulioiangusha CCM Kahama.Bado mwakani
Tanzania nzima ni ngome ya CHADEMAKahama sasa ni ngome kuu mojawapo ya chadema
Katibu mkuu wa umoja wa vijana wa CCM ameingia kahama akiendelea ziara yake ya kila wilaya kuimarisha jumuiya na kuhakikisha kuwa Watanzana hawapotoshwI na taarfa za uongo baada ya UKAWA KUCHOMA MOTO masanduku ya kura kahama baada ya ukawa kuonekana wanashindwa mitaa mitatu kuchoma moto kura na wakala wao kuzimka gafla
Kwa hiyo ndo amekuwa hakimu anaenda kuhukum kesi?Katibu mkuu wa umoja wa vijana wa CCM ameingia kahama akiendelea ziara yake ya kila wilaya kuimarisha jumuiya na kuhakikisha kuwa Watanzana hawapotoshwI na taarfa za uongo baada ya UKAWA KUCHOMA MOTO masanduku ya kura kahama baada ya ukawa kuonekana wanashindwa mitaa mitatu kuchoma moto kura na wakala wao kuzimka gafla