Sixtus Mapunda asababisha vijana Igunga kumzomea Halima Mdee

Sixtus Mapunda asababisha vijana Igunga kumzomea Halima Mdee

Joined
Feb 28, 2014
Posts
34
Reaction score
7
aliwasili hapa igunga jana jioni na kuhutubia vijana ktk mkutano wa hadhara baada ya kufunga mashindano yao ya mpira wa miguu na kutoa zawadi kwa washindi bora
akauliza
nasikia kunamwanadada alipita hapa
vijana;ndio,halima mdee
alisemaje;tusiichague ccm wala tusijenge mahabara
six;nyie mnaona ni sawa?
vijana;hapana,tumzomeeni halima ohhhh hoooo hooo,kwanza ukawa wenyewe walisema watasimamisha mgombea mmoja lakini kila chama kimesimamisha mgombea
six;ebu rudieni tena kumpa zawadi halima;
vijana;ohhhhhh halima mzushi ohhooooo hoooo
hizi ndio picha za matukio
 

Attachments

  • 6.jpg
    6.jpg
    23.1 KB · Views: 1,734
  • 61.jpg
    61.jpg
    66.4 KB · Views: 1,580
  • 62.jpg
    62.jpg
    66.1 KB · Views: 1,452
  • 63.jpg
    63.jpg
    77.6 KB · Views: 1,411
  • 64.jpg
    64.jpg
    51.8 KB · Views: 1,387
Hi,you are really welcome to the first AFRICA-CHINA business community BAA! baa.chinaworldbuz.com GRAB YOUR ANSWER; GET MORE OPPORTUNITIES;SHOW YOUR PERSONALITY
 
ukiangalia nyumba nyingi wanazoishi wananchi wa Igunga utakubaliana na maneno aliyosema Halima Mdee
 
Mleta mada inaonekana hana uwezo wa kujieleza.Halafu,mnamzomea mtu ambaye hayuko hapo,kweli ni upunguwani!.
 
Hebu ifungulie thread yake hii...

Hi,you are really welcome to the first AFRICA-CHINA business community BAA! baa.chinaworldbuz.com GRAB YOUR ANSWER; GET MORE OPPORTUNITIES;SHOW YOUR PERSONALITY
 
Hi,you are really welcome to the first AFRICA-CHINA business community BAA! baa.chinaworldbuz.com GRAB YOUR ANSWER; GET MORE OPPORTUNITIES;SHOW YOUR PERSONALITY

Hujasoma sheria za JF. Mods wataondoa sasa hivi hiki kituko chako hapa.
 
Chicken Headed kabisa na hawa wa aina hii ndo wana jukumu la kusemea vijana wa CCM!!!!!Shame
 
haya ni maajabu ya Tanzania tu...uzuri ni kwamba, hayo anawaambia wale wenye akili za kijinga na kipunguani kama zake (six ) siyo wenye akili timamu kama zetu.
 
Akili mali. Majuha haya yanazomea kama mazuzu! Kweli CCM imefika mwisho wa kufikiri. Ni kama mbwa anayebweka kwa kuvuta harufu tu. MaCCM yanabwekea harufu ya Mdee! Mwenyewe hayupo.
 
alisemaje;tusiichague ccm wala tusijenge mahabarasix;nyie mnaona ni sawa?
vijana;hapana,tumzomeeni halima ohhhh hoooo hooo,kwanza ukawa wenyewe walisema watasimamisha mgombea


Kwani zile pesa za VAT katika mgao wa ESCROW zisingetosha kujenga Mahabara kila kichochoro????

Kuna umuhim wa kuwachangisha wananchi ambao kipato chao ni cha chini???

Serikali yetu ni tajiri sana ispokuwa wasimamizi ndio wabovu, hakuna haja ya kupitisha bakuli kwa suala dogo kama hili!!!

ni muhimu sana kuendelea na operesheni DELETE CCM



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Akili mali. Majuha haya yanazomea kama mazuzu! Kweli CCM imefika mwisho wa kufikiri. Ni kama mbwa anayebweka kwa kuvuta harufu tu. MaCCM yanabwekea harufu ya Mdee! Mwenyewe hayupo.

Yaani kusema ukweli ni kwamba wamekosa hata point ya kuongea katika mikutano ya kampeni.

AIBU YAO MILELE MAPANYA HAWA WANAoITWA CCM


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
mahabara ndo nini?

Uchizi siyo lazima kuvua nguo na kushinda jalalani.Vijana jiulizeni huyo anajua adha mnayoipata kwa wazazi wenu kuchangishwa michango ya ujenzi wa maabara?.Vijana shida yenu ni hiyo mipira na jezi za kichina mnazopewa?Tafakari kwa makini.Wenye akili wanajua nini cha kufanya:confused2::A S soccer::becky::msela:
 
Kuna kitu nimekigundua kuhusu hawa watu wa Tabora kwa ujumla,sijui wana akili gani au ni nani amewaroga?nakumbuka ile siku ambayo fisadi bilionea anayeitwa Rostam Aziz alikuwa akitangaza uamuzi wake wa kujiuzulu nafasi zote kuanzia ubunge hadi za chama eti kulikuwa na mpumbavu mmoja,tena mtu mzima na bila shaka nyumbani anaitwa baba,eti aliamua kuangua kilio hadharani?aisee yule mpumbavu alinichefua mpaka basi na huwa napatwa na hasira kila ninapokumbuka lile tukio,kweli huko Igunga kuna mazezeta kupita kiasi.
 
Back
Top Bottom