Sixtus Mapunda asababisha vijana Igunga kumzomea Halima Mdee

Sixtus Mapunda asababisha vijana Igunga kumzomea Halima Mdee

aliwasili hapa igunga jana jioni na kuhutubia vijana ktk mkutano wa hadhara baada ya kufunga mashindano yao ya mpira wa miguu na kutoa zawadi kwa washindi bora
akauliza
nasikia kunamwanadada alipita hapa
vijana;ndio,halima mdee
alisemaje;tusiichague ccm wala tusijenge mahabara
six;nyie mnaona ni sawa?
vijana;hapana,tumzomeeni halima ohhhh hoooo hooo,kwanza ukawa wenyewe walisema watasimamisha mgombea mmoja lakini kila chama kimesimamisha mgombea
six;ebu rudieni tena kumpa zawadi halima;
vijana;ohhhhhh halima mzushi ohhooooo hoooo
hizi ndio picha za matukio

Mbona haujalielezea lile tukio la gali la matangazo la CHADEMA lilipopita huku mechi ikiendelea wananchi walifanya nini? labda nikukumbushe tu baada ya gali lile kupita wananchi wote waliozunguka uwanja huo waligeuka huku wakionyesha ishara ya vidole viwili na kupiga mayowe ya Peeplees.
 
.... Sina Mda Wa Kupoteza Hapa Kwenye Huu Upuuzi, Eti Mahabara?
 
Uchizi siyo lazima kuvua nguo na kushinda jalalani.Vijana jiulizeni huyo anajua adha mnayoipata kwa wazazi wenu kuchangishwa michango ya ujenzi wa maabara?.Vijana shida yenu ni hiyo mipira na jezi za kichina mnazopewa?Tafakari kwa makini.Wenye akili wanajua nini cha kufanya:confused2::A S soccer::becky::msela:

Mkuu usiseme mipira na jezi hapo unakosea na kuzipa heshima isiyo stahili zile siyo jezi, nyingi ziko chini ya kiwango ziite chupi na vifulana na mara nyingi wakipewa na kuanza kukimbia kimbia uwanjani hawa vibaraka wa mafisadi wanarudi mjini wanaendelea kupiga visenti na makambo yanayodondoka kutoka kwenye Mabilioni .
 
Hapo Igunga CCM haina chake,imepewa kichapo cha mbwa mwizi
 
Mleta Mada acha porojo, sio lazima ulete post, kama huna la kusema unaweza chuna 2 co dhambi
 
Hasara Tupu..
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1418910970.122251.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1418910970.122251.jpg
    34.3 KB · Views: 171
asenga unatia aibu sana dogo, yaani umeumiza kichwa ukaona uje na huu upuuzi ili kujiliwaza mulivyopigwa bao na ukawa uchaguzi serikali za mitaa. anyway, buku saba yako ishaingia maana lumumba wameiona hii post yako
 
tafadhali sana mkuu, tuwekee matokeo ya igunga hapa, maana maccm bado hayajajitambua kamwe.

Matokeo ni
- Igunga mjini CDM 5 CCM 1
- Igurubi CDM 6 CCM 0
- Choma CDM 7 CCM 0
- Nanga CDM 6 CCM 2
- Simbo CDM 8 CCM 0
- Ibologelo CDM 4 CCM 3
- Kinungu CDM Vyote
- Mbutu CDM 80%
- Nkinga CDM 5 CCM 2

Kiujumla CCM wamegongwa kwani hapo awali vijiji vyote vilikuwa chini ya CCM na kwa upande wa vitongoji upinzani ulikuwa na 3 tu wilaya nzima
 
aliwasili hapa igunga jana jioni na kuhutubia vijana ktk mkutano wa hadhara baada ya kufunga mashindano yao ya mpira wa miguu na kutoa zawadi kwa washindi bora
akauliza
nasikia kunamwanadada alipita hapa
vijana;ndio,halima mdee
alisemaje;tusiichague ccm wala tusijenge mahabara
six;nyie mnaona ni sawa?
vijana;hapana,tumzomeeni halima ohhhh hoooo hooo,kwanza ukawa wenyewe walisema watasimamisha mgombea mmoja lakini kila chama kimesimamisha mgombea
six;ebu rudieni tena kumpa zawadi halima;
vijana;ohhhhhh halima mzushi ohhooooo hoooo
hizi ndio picha za matukio

Vipi umepata matokeo ya uchaguzi wa vitongoji hapo Igunga? kama hao vijana unasema walimzomea H Mdee imekuwaje haohao vijana waiadhibu CCM kwa kuipa ushindi CDM kwa vitongoji 5 dhidi ya 1 kwa CCM?
 
aliwasili hapa igunga jana jioni na kuhutubia vijana ktk mkutano wa hadhara baada ya kufunga mashindano yao ya mpira wa miguu na kutoa zawadi kwa washindi bora
akauliza
nasikia kunamwanadada alipita hapa
vijana;ndio,halima mdee
alisemaje;tusiichague ccm wala tusijenge mahabara
six;nyie mnaona ni sawa?
vijana;hapana,tumzomeeni halima ohhhh hoooo hooo,kwanza ukawa wenyewe walisema watasimamisha mgombea mmoja lakini kila chama kimesimamisha mgombea
six;ebu rudieni tena kumpa zawadi halima;
vijana;ohhhhhh halima mzushi ohhooooo hoooo
hizi ndio picha za matukio

Kumbe walikuwa wanagawiwa Jezi za bure!!!!!!!!!!

Ulitegemea watajibu nini hapo wakati kuna mlungula wa Jezi!!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom