Sixtus Mapunda asababisha vijana Igunga kumzomea Halima Mdee

Sixtus Mapunda asababisha vijana Igunga kumzomea Halima Mdee

aliwasili hapa igunga jana jioni na kuhutubia vijana ktk mkutano wa hadhara baada ya kufunga mashindano yao ya mpira wa miguu na kutoa zawadi kwa washindi bora
akauliza
nasikia kunamwanadada alipita hapa
vijana;ndio,halima mdee
alisemaje;tusiichague ccm wala tusijenge mahabara
six;nyie mnaona ni sawa?
vijana;hapana,tumzomeeni halima ohhhh hoooo hooo,kwanza ukawa wenyewe walisema watasimamisha mgombea mmoja lakini kila chama kimesimamisha mgombea
six;ebu rudieni tena kumpa zawadi halima;
vijana;ohhhhhh halima mzushi ohhooooo hoooo
hizi ndio picha za matukio
Wewe lazima utakua unafikiri kwa kutumia makalio. utamzomeaji mtu ambaye hayupo, pum....fu zako
 
Igunga walishaikataa ccm kitambo! Poleni magamba kwa kuliwazana
 
Mimi ni mwana Igunga,waliomzomea Halima ni vijana wachache sana wa CCM.
Igunga hawaipendi CCM kama MAVI,na hili halina ubshi.
 
Hakuna chadema msafi wote magalasa tu.
 
Wewe lazima utakua unafikiri kwa kutumia makalio. utamzomeaji mtu ambaye hayupo, pum....fu zako

siyo rahisi kusema jambo ambalo halikuhusu kwahiyo wewe utakuwa mhusika mzuri sana.
 
Kuna kitu nimekigundua kuhusu hawa watu wa Tabora kwa ujumla,sijui wana akili gani au ni nani amewaroga?nakumbuka ile siku ambayo fisadi bilionea anayeitwa Rostam Aziz alikuwa akitangaza uamuzi wake wa kujiuzulu nafasi zote kuanzia ubunge hadi za chama eti kulikuwa na mpumbavu mmoja,tena mtu mzima na bila shaka nyumbani anaitwa baba,eti aliamua kuangua kilio hadharani?aisee yule mpumbavu alinichefua mpaka basi na huwa napatwa na hasira kila ninapokumbuka lile tukio,kweli huko Igunga kuna mazezeta kupita kiasi.

hahahaha
 
Hizo zawadi za mipira na jezi si lolote si chochote kwa hela mliyokwapua kwa wananchi kupitia Escrew ,wananchi wanazidi kuelewa kuwa zawadi zinazotolewa na miccm zinatokana na feza za wizi ,wazipokee au wasizipokee jawabu wazipokee kwani ni hela zao kihalali kabisa.
 
Yaani kusema ukweli ni kwamba wamekosa hata point ya kuongea katika mikutano ya kampeni.

AIBU YAO MILELE MAPANYA HAWA WANAoITWA CCM

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Kaka wanasema hivi eti tusiwachague UPINZANI sababu wanapenda madaraka sana,sasa sielewi Mgombea wa CCM mpaka ameanza kampeni ameshahonga mpaka viroboto vya nyumbani kwake,ameenda mpaka kulala kwa mganga kisa apate uongozi.

Inanitatiza kwenye hili mpenda madaraka ni yupi kati ya hawa wawili.Anayehonga au anayegombea uongozi bila kuhonga.
 
umefanya la maana sana kutuwekea picha za baadhi ya nyumba japokuwa kuna zilizo na hali mbaya kupita hizo
 
Hizo zawadi za mipira na jezi si lolote si chochote kwa hela mliyokwapua kwa wananchi kupitia Escrew ,wananchi wanazidi kuelewa kuwa zawadi zinazotolewa na miccm zinatokana na feza za wizi ,wazipokee au wasizipokee jawabu wazipokee kwani ni hela zao kihalali kabisa.

Yaani kwa akili zako zilivyokuwa fupi tunashukuru kwa viongozi kukuondoa pale chuo cha mwalimu nyerere kwani ukilaza wako ulikuwa unakizalilisha chuo. Kucha kutwa upo kwa rizi 1 akupatie pesa ya chakula. Wewe ni kijana wa kiume usipende vya dezo kijana utazalilishwa Asenga abubakari.
 
Ndo huyu alisababisha mgogoro w kidiplomasia kati ya Tanzani na Uganda kuhusu Mwanafunzi Odongo Odwar UDSM 2008
 
Wewe umesoma kweli.ccm watu wanaposema ni wezi they hv evidence from escrow,epa,kagoda and etc.sasa can u gv us evidence frm frm cdm,hv u tested them?tusiwe mazuzu kwny maslah ya nchi hii
 
Hii ndio raha ya CCM bwana mazombi wanawaongoza misukule!
 
Akili mali. Majuha haya yanazomea kama mazuzu! Kweli CCM imefika mwisho wa kufikiri. Ni kama mbwa anayebweka kwa kuvuta harufu tu. MaCCM yanabwekea harufu ya Mdee! Mwenyewe hayupo.
Waliozomea ni wananchi ambao baadhi yao sio wanachama wa chama chochote, baadhi yao ni wana-CCM na baadhi yao ni wana-CDM! Kama ni lazima kutukana basi uwatukane na ma-CDM!!
 
Maisha bila ccm inawezekena na yatakuwa bora sana kwani wizi hautakuwa na nafasi kabisa
 
aliwasili hapa igunga jana jioni na kuhutubia vijana ktk mkutano wa hadhara baada ya kufunga mashindano yao ya mpira wa miguu na kutoa zawadi kwa washindi bora
akauliza
nasikia kunamwanadada alipita hapa
vijana;ndio,halima mdee
alisemaje;tusiichague ccm wala tusijenge mahabara
six;nyie mnaona ni sawa?
vijana;hapana,tumzomeeni halima ohhhh hoooo hooo,kwanza ukawa wenyewe walisema watasimamisha mgombea mmoja lakini kila chama kimesimamisha mgombea
six;ebu rudieni tena kumpa zawadi halima;
vijana;ohhhhhh halima mzushi ohhooooo hoooo
hizi ndio picha za matukio

Ulivyo iandika nikadhani wawakilishi wa vijana wa Igunga! kumbe ulitegemea nini kwenye mkusanyiko wa kijani na njano kama huo. After all ni strategic gathering. Sio ajabu
 
Back
Top Bottom