Six pack zimesababisha nikose mpenzi

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,884
Reaction score
40,053
Habari wakuu.
Ngoja nifute machozi kidogo.

Nakumbuka ilikuwa jumapili moja tulivu ndani ya viunga vya Coco beach nikiwa nimetulia kwenye moja ya mawe yaliyopo pale beach huku nikatafakari kwa kina mustakabali nchi yetu changa.

Ghafla nikahisi kama kuna mtu anakuja kwa nyuma yangu sikutilia mkazo kwa kuwa watu walikuwa ni wengi sana.

So nikajua ni wapita njia wengine tu lakini vile vishindo vya miguu vinazidi kuongezeka kuelekea upande wangu nikaona ngoja niangalie nani huyo anayekuja upande wangu.

Nilichokiona sikuamini macho yangu alikuwa ni binti mrembo aliyevaa bikini nyeupe huku akiwa ameshika mapira mawili ya kuogelea.

Kufumba na kufumba na kufumbua huyu hapa mbele yangu.

Nikasikia sauti line sana ikipenya kwenye maskio yangu.

.....itaendelea........
 
 
Last edited by a moderator:
Inaendelea....
ile sauti ikasema..."samahani kaka ..ninaweza kupata kampani yako...???..".....nikapatwa kama kigugumizi flani hivi mpaka nikachelewa kujibu....nikajibu kwa mbaaali...YES...
kufumba na kufumbua mtoto kanishika mkono kuelekea majini...nikajinasua kidogo kwa ajili ya kubadilisha nguo....kwa kifupi nilii enjoy sana siku hiyo na mtoto Suzy...mtoto hakuwa mchoyo wa mwili wake...niliuchezea nitakavyo...kiasi kwamba watu wengi walidhani ni mtu wangu...
hatimaye jioni ikafika mtoto akaniomba kuondoka kuondoka...Mzee nilikuwa nimeshanogewa....nikajikuta naongea mengine......
Mtoto Suzy hakunificha akanichana live kuwa yeye huwa anazimika na wanaume wenye six pack....ukizingatia miye Nina one pack.....nikambembeleza anipe muda nizisake hizo six pack....akaniambia its too late....nikamkosa mtoto Suzy...huku namuangalia akitokomea kwenye vitz nyeusi....yuleeeeeeeeeeeeeeee....
 
Uandishi wa kizamani sana huu.. yaani wewe kama ingekua mashairi tungekuweka kundi la wale MAVINA....... kichwa hakisadifu yaliyondani... story imekosa mshikamano... umeanza kama habari kumbe nihadithi... tuliza akili

.
 
Uandishi wa kizamani sana huu.. yaani wewe kama ingekua mashairi tungekuweka kundi la wale MAVINA....... kichwa hakisadifu yaliyondani... story imekosa mshikamano... umeanza kama habari kumbe nihadithi... tuliza akili

.

sasa kisichoeleweka ni kitu..gani..??
au umeamka na viroba kichwani....???
 
join teamgym.com ..unaweza pata mafuta ya kichina ukipaka ndani ya wiki 2 2 johncena cha mtoto
 

Nikasikia vishindo.nikamuona binti mrembo harafu eti unasema ghafla akanifikia

Unajua maaana ya ghafla wewe
 
watu wengine wanakela kama chupi za mitumba.
 
unataka six pack :angry::angry::angry:?? utafiti unaonyesha vijana wanaofanya mazoezi kutafuta six pack wapo kwenye hatari 89% kufa kwa cardiac stroke SO TAKE CARE bro six pack inaweza kugeuka "futi sita ardhini"
 

Mie naona wewe mdau mleta uzi umeamkia maeneo ya hotel hii hapo chini na kwenda moja kwa moja kupata juisi iliyotajwa hapa . kwani naona giza tororo katika ulichoandika.
 

Attachments

  • ggd.jpg
    7.3 KB · Views: 304
  • bb.jpg
    13.3 KB · Views: 295
Eti umekaa beach unawaza nchi. Who are you? Afu wanawake wanatembeaga kwa mshindo? Mawimbi ya beach uyasikie hivi hivi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…