Kufuatia hii post, naombeni mnitumie contacts za Shilole niweze kuongea nae kuhusu tumbo. Kuna kirutubisho (Food Supplement) kinajulikana kama SHAKE OFF PHYTO FIBER, kinaondoa tatizo la tumbo/ kitambi bila madhara yoyote. Hebu nitumieni contacts zake tumsaidie huyu dada.
SHAKE OFF Phyto Fiber
Ni kinywaji kinachotokana na virutubisho asilia (roselle, oats, inulin n.k) kilicho na nguvu ya kusafisha kabisa na kuondoa mgandamano wote wa taka ktk utumbo mpana ikiuacha ukiwa msafi na wenye afya zaidi.
Faida za Shake Off
Imetengenezwa kwa virutubisho asilia, haina madhara kwa mtumiaji.
Ni njia ya haraka, salama, uhakika na nafuu ya kuondoa mgandamano wa taka tumboni hivyo kukupa kinga ya saratani ya utumbo mpana(colon cancer) na madhala mengine kiafya.(coprostasis)
Inakupa matokeo chanya masaa 8 - 12 tu baada ya kutumia.
Inapunguza uzito uliozidi, kitambi (tumbo) na mgandamano wa mafuta kwenye mishipa ya damu (cholesterol)
Inaondoa tatizo la kukosa choo (Constipation) na kusaidia ukuaji wa baktelia wazuri tumboni.
ni vema tukatafutana kwenye simu ili kutowakwaza wanabodi kwa kutoka nje ya uzi. mimi sitojua kwamba ndo wewe kwani yatosha kujitambulisha kama "guset" uliyekuwa ukipita tu kama mpita njia.
Kumbuka: AFYA NJEMA HUJENGA MUSTAKARI MZURI WA MAISHA.
Hebu angalia hapa sumu zinavyojaza matumbo/ vitambi kutokana na tatizo la kukosa choo mara kwa mara (Constipation) bila kusahau madhara yake. Halafu uchukue hatua kusafisha utumbo wako kwa kutumia SHAKE OFF PHYTO FIBER uondokane na madhara.
Maswali mawiwili ya MSINGI tupasayo kujiuliza:
1. Kama tuna kula milo mitatu au zaidi kwa siku na mara nyingi tunapata choo mara moja kila baada ya siku moja. Je?, sehemu kubwa ya chakula tunachokula kinaenda wapi? kinasagwa na kumeng'enywa chote na mwili au ndo matokeo ya matumbo / vitambi tunavyoviona kila kukicha ikiwa ni ushahidi kwamba tunatembea na kilo kadhaa za vyakula visivyosagwa na kumeng'enywa na mwili kwenye matumbo yetu?!!
2. Kama tunaoga mara mbili au zaidi kwa siku ili kuweka sehemu ya nje ya mwili (outside) safi, tuna fanya nini kusafisha sehemu ya ndani ya mwili? Kuna maana gani kusafisha sehemu ya nje ya mwili na kuacha sehemu ya ndani ya mwili chafu?! Hivi, AFYA na MUONEKANO MZURI huanzia NJE kwenda NDANI (out - inside) au huanzia NDANI kwenda NJE (inside - Out)?!!
.....Hayo ndio matokeo ya kula vyakula vyenu vya kimjini mjini....machipsi yanayokaangwa kwa mafuta ya transforma....makuku ya kishoga (kuku tangu amezaliwa hajawahi kumuona jogoo..ukiligusa tu linainama lenyewe likidhani limetembelewa na jogoo).....
.....Huku Tabora kuku anakimbizwa siku nzima....ukitembelewa na wageni inabidi wote washiriki kukimbiza kuku...la sivyo aliwi kuku siku hiyo....chezea kuku wa kienyeji...
.....NA MBADO... hapo ni tumbo tu..bado magonjwa yanayoambatana na huo ulaji wenu wa kimjini mjini...Suluhisho ni kurudi kwenye misosi ya asili.....
.....Dokta Ndodi anaongea kila siku lakini mmeweka pamba masikioni.