Usiogope, kwa lidunia la leo wala hutahitaji kwenda skuli kujifunza hayo maneno wala hutahitaji kuja humu jf. Piga pamba saafi, tembea ka mtu anayejua anako kwenda, ukiwaona wale opposite sex, jifanye ipo bizze kinyama na kuwa huwaoni. Kesho tu utaona wanaanza kudondosha pen, kitambaa cha mkono. Kiinue, mwite mwambie; "Dada umeangusha kitambaa". Akipokea tu, mguse mkono shika kidole, tayari umeshamaliza shule ya kutongoza. Kwa heri. Mafunzo zaidi ni gharama, lazima utulipe