Siwezi kutongoza...


ndio nimekuja hivo twende pm
 
hapo kwenye bold pamenivutia..sihitaji kukosa ndipo nije kwako hata sasa naweza kuja.
 
Hatari! ! Si ungeandika tu unatafuta mke wa kuoa humu jf kuliko kutaka ufundishwe kutongoza?? Hebu maliza masomo bhana! !
nahitaji kuwa na mchumba kwa sasa ninasoma miaka minne na umri unakwenda najua nikirudi kitaa changamoto za huko zitafanya nisifikirie sana kuhusu mchumba kwa hiyo muda sahihi ni sasa.
 



Pole......njoo nkufundishe
 
Ngoja nije kukutongoza PM..halafu ukopi na kupesti
 
[QUOTE=Safety last..ndio nimekuja hivo twende pm

hahaaaaaaaa..kwani wewe ndo muhitaji..
 
siyo big deal kwa sasa, wanawake walikuwa zamani unamuimbisha mtu kwa miaka miwili hata goti hulioni...sasa mambo hadharani tu, ni wewe tu..ukitaka wa kanisani, msikitini, disco au kwenye matamasha kama ya mwenge utapata tu. Chuo ndiyo kabisa wapo wengi lkn watakubomu ipad, simu nk. ikifikia hapo usiwe bahili
 

Huyo 1 uliyempata hujamuoa? Bado unataka wengine?

Hata hivyo rekodi yako ni nzuri sana.

Kuna jamaa alitongoza 6, na alikataliwa na wote 6.
 
Aisee kuna mambo mengine hufundiswhi banha, mazingira tu yanakushepu, kwani ukishampata utahitaji tena kozi nyingine ya kutengeneza watoto??? Kama unajua ulifundishwa pia??? Good luck!
 
amu inawezekana pesa tatizo ila secondary sikuwa na kitu bora chuo kuna boom lakin wap nashangaa sina mvuto kabisa kwa wadada sasa.

wenye papuchi huwa hawawapendi wanaume wasongo!! hata mimi ilikuwa hivyo hivyo nikatulizana sasa nina papuchi niliyoikuta BIKIRA
 
Huyo 1 uliyempata hujamuoa? Bado unataka wengine?

Hata hivyo rekodi yako ni nzuri sana.

Kuna jamaa alitongoza 6, na alikataliwa na wote 6.
huyo mmoja alikuwa ana jini mapesa nilikuwa naliwa bila kula.
wakati H.E JAKAYA anasema ukila na wewe lazima uliwe.
 
Hujui kutongoza kwa kuwa hujui kwa nini unapaswa kutongoza! Kutongoza siku hizi si lazima utamke maneno au ulegeze macho kuonesha Mahaba! Kuwa karibu na unaempenda mengine yote huja yenyewe kama Michirizi ya Machozi kwenye Mashavu Once ukilia.
 
Mbona ishu za kutongozana zilishaisha siku nyingi na wewe? Watu wazima tunatoana "out" tu, na mambo yote yanaishia huko huko!
haswaa siku hizi hatutongozani ikiwa ninahisia na wewe tunajikuta automatically in a relationship
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…