Siwezi kutongoza...

Siwezi kutongoza...

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,440
Reaction score
3,606
habarin,
Pamoja na kuwa na wapenzi mbalimbali kwa muda mrefu nimegundua siwezi kutongoza kwani hata hao niliokuwa nao niliwapata kwa sifa za class akili hasa uwezo wangu wa hesabu na physics sasa na uongozi nilikuwa headboy hivyo walikuwa wanajileta tu nilipofika chuo hali ikabadilika ghafla nikitongoza nakataliwa kwa miaka mitatu nilimpata demu 1 tu kati ya 6 kitu kinachofanya nijihisi vibaya hasa ukizingatia nahtaji mchumba kwa sasa nashindwa kujua nifanyaje alie experience hii anisaidie kabla sijaenda kuombewa nilifikiria kurud kwa ma ex lakin wengine wameolewa mmoja kazalishwa na sitak kuoa mtu mwenye mtoto.
 
firebase kubaka isha kusaidia etii?
 
Last edited by a moderator:
miss chagga hela kias gani mbona hao wengine sikuwa na hela ila we chagga mentality yako ipo kwenye pesa.
 
Last edited by a moderator:
firebase ishu ni mchumba sio ngono ingekuwa hivyo nisingejali nina ma ex weng ambao naweza access muda wowote ila siwezi wa oa kwa sababu tajwa hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
mmhhh!hauna hela wewe au mbahili.
 
g click nahtaji mchumba pls kwa macheni sio sahihi kwangu.
 
Last edited by a moderator:
habarin,
Pamoja na kuwa na wapenzi mbalimbali kwa muda mrefu nimegundua siwezi kutongoza kwani hata hao niliokuwa nao niliwapata kwa sifa za class akili hasa uwezo wangu wa hesabu na physics sasa na uongozi nilikuwa headboy hivyo walikuwa wanajileta tu nilipofika chuo hali ikabadilika ghafla nikitongoza nakataliwa kwa miaka mitatu nilimpata demu 1 tu kati ya 6 kitu kinachofanya nijihisi vibaya hasa ukizingatia nahtaji mchumba kwa sasa nashindwa kujua nifanyaje alie experience hii anisaidie kabla sijaenda kuombewa nilifikiria kurud kwa ma ex lakin wengine wameolewa mmoja kazalishwa na sitak kuoa mtu mwenye mtoto.

Kumbe tupo wengi.
 
amu inawezekana pesa tatizo ila secondary sikuwa na kitu bora chuo kuna boom lakin wap nashangaa sina mvuto kabisa kwa wadada sasa.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta hela mkuu. Cris lukosi anauza magari hadi ya 1.5 milion. Ukiwa na milion15 unakuwa nayo kumi. Unahonga tu ila kadi ya gari unabaki nayo mwenyewe. Akizngua unanyang'anya gari. Do it at your own risk. Am out.
 
Aisee cjui nianzishe tuition ya kufundisha hii makitu!
Naona wateja wapo!

Ngoja nikamate fursa niende zao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom