Iliwah nikuta,
Nkaja gundua Inategemea na Aina ya ndom, baadhi ya ndom zipo zipo tu utadhan umevaa kandoro
Hata bao 1 halijaisha zishakauka na kutepeta Sana, unachomeka ukichomoa tu unaona ishasogea tayar Kama inazamia.
Unajikuta Kila Mara unastisha game kurekebisha ndom.
Bao moja unajikuta ushabadili ndom tatu mpk nne
Ndom zinazozidi Zaid ni ROUGH RIDER, MSD na zile 3BOMBA.
Nowdays natumia DUME na ndom flan hivi nmezisahau jina (zinatengenezwa FRANCE),
Zinauwezo mzuri Sn wa kuhimili mikiki mikiki na zina vipele flan hivi amaizing vinatekenya.
My take: BADILI AINA YA KONDOM, USIPIGE KAVU KAMA HUNA UHAKIKA NA STATUS YA UBUNTU HUSIKA.
Sent using
Jamii Forums mobile app